JF Secret Society

We can formulate the purpose the way we want. I believe kila mtu ana idea yake but eventually we will hv to agree on something even if it doesn't pleases us.
I think JF is the best place kwa ushauri, nasaha, vituko nk lakini pia natamani tuweze kuifikia jamii kwa vitendo.
 
mmh...mbona watu wamekuwa wakali sana katika swala hili la kuoana..sory.. kuonana??? whats not happening here!?
 
Hii dhana ya "hapa ushauri tu, kula kwenu" haitatupeleka mbali. Tutaishia kuwa taifa la kulaumu tu

Action speaks louder than words wajameni
 
siku hiyo mkimaliza kikao usalama upo na kuwakamata kwa uhaini, uvushaji wa siri na dhihaka kwa viongozi wa kitaifa
 
Wengi mnauliza purpose ya kukutana, wat kind of positive idea that comes up in ur mind ukibahatika kuonana face to face na wanaJF?
 
hivi inamaana humu JF hamna hatu ka kundi kadogo tu ka watu( hata watu wawili hivi) ambao wanafahamiana kabisa(kwa maana walishawahi kukutana hivi) na kujuijua kuwa wote ni JF membaz?
 
mmh...mbona watu wamekuwa wakali sana katika swala hili la kuoana..sory.. kuonana??? whats not happening here!?
Naona wengine watashindwa kupata vibali kutoka kwa wenza wao bac wameamua kuweka vikwazo kedekede
 
Ndio maana mchango wako unahitajika ili ikae vema. Any positive thoughts?
 
Ndio maana mchango wako unahitajika ili ikae vema. Any positive thoughts?
labda siku hiyo watu inabidi wavae vitambaa usoni (kama maninja) ili kuficha sura zao na kubandika majina ya ID zao za JF kwenye nguo....lol!
 
Kukutana ni soo, kutojuana kunawafanya watu wachangie kwa uhuru, imagine unakutana na mkweo au mama mzazi kumbe huwa mnarushiana maneno jf
 
Back
Top Bottom