Ingependeza kuona tunaanzisha ka society ka Siri, tukutane mayb once or twice a year without revealing our IDs. Is it possible? If Yes, hw can we do it? It has to be Strictly JF members only.
Sijawahi kuona wazo baya kama hili hapa JF! Kwamba eti tukutane "kwa siri," bila kuwa na ajenda yoyote ya kuongelea! Hivi unajua kuwa wanaJF wamesambaa dunia nzima, yaani, Marekani, Uingereza, Australia, RSA, nk? Wewe unataka uwakusanye "kwa siri" ili uwafanyie nini? Utawakusanyia nchi gani? Na huo "usiri" utatekelezwaje endapo tayari unachoki-post hapa ni public? Yaani mawazo yako yamekaa kimagamba magamba kweli!