JF roll call

Nimetoboa kibishibishi sana. Hata siamini katika huu umri wangu niliweza kukimbia kumzidi Usain Bolt ili tuzikwepa risasi za wale vilaza waliofeli mtihani wa kidato cha nne.
Mbona kama ulijifungia ndani babu! Utoke usiteguke hata mguu kwa mbio?
 
Mbona kama ulijifungia ndani babu! Utoke usiteguke hata mguu kwa mbio?
Niwe tu mkweli. Niliingia barabarani kuwashuhudia Gen Z. Na nisiwe mnafiki! Wanastahili pongezi. Na kama huamini, angalia kwa umakini ule mwili wa yule mwanamke mwenzako kama haujapungua kilo za kutosha ndani ya siku mbili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…