JF Rap King competition..

JF Rap King competition..

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,892
Wow wo!! Karibuni members wote wenye uwezo WA kurap..na hii itakua text battle..unaanza na bars kazaa,anaefuata anaunga..as a music composer and sound engineer..atakae fanya vizuri,.nna beats kali zipo lose..so tutafanya kazi ..am so FREEEEED..so lets gooo..
 
Heshima kwako kamanda.!!

Kuna Uzi hapa hapa Jf ambao watu walifanya vyema sana tu katika harakati hizi Nadhani bado unasonga mbele.

Ulianzishwa na Daby last year unaitwa "JF HIP HOP FREESTYLE BATTLE" watu wameflow kinyama.
 
Ni tag
Heshima kwako kamanda.!!

Kuna Uzi hapa hapa Jf ambao watu walifanya vyema sana tu katika harakati hizi Nadhani bado unasonga mbele.

Ulianzishwa na Daby last year unaitwa "JF HIP HOP FREESTYLE BATTLE" watu wameflow kinyama.
 
Yap naruka kwenye rap, niko vyema mzee nadunda/
Nawachakaza vichwa empty,niko na the List nimedinda/
Cap km hujui naitwa dampa,thumb up km umeipenda/
Then tambua uwezo,zungusha mic huezi nenda/
Zidisha noise kisela,km bitch mgongo pinda/
Huwezi level za kilegend,huna grisi vyuma vimepinda/
Here we think high,we uko low dizaini umeshazinda/
Hip hop ipe goodbye,mzee nenda kaanzishe sindimba/
Itz tha d Luch niishie hapoo rusha mikono juu km haijavimbaaaa/
Eyiooooo pamoja mazee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom