mpwa Msa bado yuko HIja? lolz muonekano mpya Free Masa....Inapendeza hasa ukiingia jukwaa la kule chini picha zinaonekana vizuri
mKUU, una visa nini na hawa jamaaa!wananiudhi sana hawa kila siku kubadilisha vitu tu ni kukosa kazi ya kufanya wanakuwaje sijui..mi ndo maana nataka nichukue u MOD
Mkuu hizi fonts kuwa hivi now atleast inatofautisha na signature anyway am sure you can increase the font yourself kama hapa
Si uanzishe vyako? Ukiona vinaelea vimeundwa...kusema na mdomo kwani kazi? tenda basi ndio tujue wewe ni fogo!wananiudhi sana hawa kila siku kubadilisha vitu tu ni kukosa kazi ya kufanya wanakuwaje sijui..mi ndo maana nataka nichukue u MOD
MAJINA YA MEMBA YANASOMEKA KWA TAABU, ingefaa yaandikwe kwa rangi nyekundu.Wingu la ubluu linatufanya tuumie muda mwingi kulichungulia jina la memba aliyechangia.Hello !
Mkuu, hujaeleweka..Nimeipenda iko ki professional sana. Naomba MUWEKE MENU YA KUBADILISHA USER NAME PLEASE. UTAKUTA MTU MMOJA NATUMIA MORE THAN 4 USER NAMES.