JF Pre-Launch, toa maoni yako!

This is great...!
It means we shall have to spend more time on JF....
Music..Chatting etc...
 
Hii imekaa vizuri na ndio maendeleo ya JF na wanaJF

Big up.
 
Mwonekano ni Mzuri..Ila umenistua kidogo, kwani kwenye screen yangu imenibadilikia naiona (muda mchache uliopita). Yaani tofauti kati ya mwonekano wa zamani na wa sasa ilikuwa ni ndani ya sekunde tatu hivi. Kwanza sikuelewa, ikabidi ni log out. Then nikaona Thread ya Maxence. Ndo nikajua, kumbe mambo ni mapya!!!

Good work wakuu. Tupo pamoja!!
 
Du..nimetafuta vitufe karibu dakika 3(valuable time)..ha ha haaaa!
 
Mkuu hongereni sana hii nzuri sana!
 
Mkuu PJ lakini mbona mapema sana.......bado kupata the real feelings na utilities zaote hapa

kwa kuanzia hongereni sana
 
Ikiwezekana naomba muweke threads maalumu kwa watu ambao ni public figures ambapo zitakuwa hazina option ya reply. Hii ni pamoja na wabunge, viongozi wakuu wa vyama na serikali ambao wamejisajili au watajisajili humu.
Kama mtu akijisajili kwa jina la kiongozi, then muwasiliane naye on private kwanza ili ku-confirm ni yeye kiongozi au ni majina kufanana.

Natoa pendekezo hili kwa sababu baadhi ya viongozi wanapotoa kauli, unakuta zinachangiwa na mamia ya wanaJF, kiasi kwamba ili mtu uweze kuipata hiyo stori, ni lazima uwe na mda wa kutosha (sometimes haupo), wa kusoma posts zote kwenye hiyo thread.

Hata hivyo ikiwa wanapewa special place ya kutoa taarifa zao, bado wapewe option ya jutuma na kushiriki hizi threads za kawaida.

Thanks.
 
Hongereni kwa kuifanyie modification janvi letu. Mapendekezo yangu.
1. Analieni jinsi ya ku link taarifa ya JF na social network zingine kama twitter , Face book na zingini. Yaani mtu anaweza pata habari huku akailinki kule ikaonekana ili kusamabaza information kwa watu wengi zaidi.
2. Nahisi kama mmepunguza Font size. Nadhani itapendeza kama itabaki ile ile.
Ni hayo tu kwa sasa.
 
joining date ingeonyesha na tarehe siyo siku tu.
 
Ila window ni pana sana..inabide u-scroll sideways...ipunguzwe!
 
Hongereni sana kwa kazi kubwa mnayoifanya wakubwa,
 
Window imekuwa pana sana Sideways(left-right!)
Punguzeni kidogo mkuu!....
 
Mkuu, hujaperuzi vema... Kila thread kwa juu ina icon za Twitter, FaceBook na Email ili kusambaza ujumbe via social networks. Si lazima u-copy na ku-paste huko bali ni kubonyeza link na kusambaza ujumbe.

Font size hatujapunguza, endeleeni kupata muda wa kupitia lakini bado mawazo yatazingatiwa.
 
Muonekano mpya unavutia sana, big up mkuu Max!
 

Cheki juu kulia utaona hizo links.

Kuhusu fonts nadhani hii ni defaul unaweze kucustomize kwa preference yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…