JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

View attachment 1519925

Baraza la kwanza la Mwalimu lilikua na Waziri/ Mbunge mzungu Sir Derick Brysen(Mbunge wa Kinondoni) huyo kushoto na pia alikua Waziri wa Kilimo na Kulia kwa Mwalimu ni Amir Jamal(Muhindi) alikua waziri wa Fedha baadae akawa waziri wa Nishati na Madini. Ndie waziri aliyekaa wizara ya Fedha kwa muda mrefu zaidi( Miaka 12) na alikua mbunge wa Morogoro ila alienda kufia na kuzikwa Canada
Nyerere ndio boss ila iyo picha katokea kama mtumishi.
Ni kumbukumbu nzuri....
 
KUMBUKA TULIPO TOKA Napa nakumbuka enzi hiyo nauli shs 150 tu lakini ikijaa unamuangalia konda alafu unamuonyesha kidole kimoja na anakuelewa anakwambia ingia kwa 100 unaingia unapinda mgongo HAPO ZIPO STESHEN POSTA
 
Attachments

  • FB_IMG_1715806590961.jpg
    FB_IMG_1715806590961.jpg
    59.4 KB · Views: 2

Back
Top Bottom