ibraton
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 353
- 185
Wana JF naomba msaada wenu kwa hili'nipo kwenye mahusiano ya zaidi ya miaka2 sasa'mpnzi wangu yeye amfanikiwa zaidi yangu'ana gari,tatzo ambalo mi linanikwaza vtu vyake ananipa kwa masharti sana kiasi kwamba nahsi kama ananinyanyasa'sasa sijui nina wivu au ndio mapenzi'kwa mfano nikiwa naendesha gari yake yeye ndio mwelekeza njia japo mi naona'na sitakiwi kwenda na gari yake popote pale mpaka yeye awepo'inaniumiza hadi nafikiria kama nijitoe sababu nahsi kama yatakuwa manyanyaso tu kila siku nitafute wa level yangu'japo tulianza mahusiano hana kitu'.