Jf nisaidieni hili'

ibraton

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
353
185
Wana JF naomba msaada wenu kwa hili'nipo kwenye mahusiano ya zaidi ya miaka2 sasa'mpnzi wangu yeye amfanikiwa zaidi yangu'ana gari,tatzo ambalo mi linanikwaza vtu vyake ananipa kwa masharti sana kiasi kwamba nahsi kama ananinyanyasa'sasa sijui nina wivu au ndio mapenzi'kwa mfano nikiwa naendesha gari yake yeye ndio mwelekeza njia japo mi naona'na sitakiwi kwenda na gari yake popote pale mpaka yeye awepo'inaniumiza hadi nafikiria kama nijitoe sababu nahsi kama yatakuwa manyanyaso tu kila siku nitafute wa level yangu'japo tulianza mahusiano hana kitu'.
 
-inawezekana huyo mtu wako ni selfish by nature yaani chake chake,chako chake
-labda hakuamini,eidha bz of past issues zenu au yeye ndio yuko hivyo so anahisi akikuachia hilo gari utaenda kufanyia matanuzi na wanawake wengine
-kipya kinyemi bana kumiliki gari si mchezo eti..ha ha lol..,mwenzio roho yake yote iko hapo nw haimanishi kuwa hakupendi, she tryn to be protective matokeo yake anaharibu

-ongea nae taratibu,mwambie tu ukweli unaona kama hakuamini na gari lake, so kama anakuruhusu uendeshe basi aamini kuwa utaitunza vyema hiyo gari yake.
-punguza hisia kuwa kila anachofanya ni kwa vile wewe huna,jitahidi uzichange upate lako maana as a man itakusumbua tu.
-
 
kama mtu hajui thamani ya kitu sio vizuri akaaachiwa hicho kitu....

kama gari hilo likiharibika au ukiligonga huna uwezo wa matengenezo
ni busara kutoliendesha bila mhusika...afterall si la kwake....

ushauri wa kiume ni kutoliendesha kabisa hilo gari,jifanye halikuhusu kabisaa....

tafuta lako........
 
Kuwa makini, ucje ukaja jutia mbeleni kama kuna uwezekano anza mazoezi ya kumkataa taratibu.
 
@nailyne'kweli hapo ni kuzichanga tu upate la kwako'ila nafikiriaga na mm nije nifanye kama anavyofanya yeye hata tukiingia ndoani au nafanyaje'maana kuna wakati anakuwa anachoka kuendesha anataka nmuendesha roho inakuwa inasononi nikiwa naendesha'nashindwa kusema tu.
 
@the BOSS" mzazi umeongea hapa ni kuachana na hilo gari'mapenzi yawepo tu lakin nisiguse vyake'nmekupata kaka'
 
yani hamjaoana na kidume una sononi? ndoa utaiweza kweli?

wewe si ndo mume wake mtarajiwa?lead her.......sio kwa kuwa ana gari ndo umuache yeye awe 'mume'..
wewe ndo kidume...show her that...
 
Wana JF naomba msaada wenu kwa hili'nipo kwenye mahusiano ya zaidi ya miaka2 sasa'mpnzi wangu yeye amfanikiwa zaidi yangu'ana gari,tatzo ambalo mi linanikwaza vtu vyake ananipa kwa masharti sana kiasi kwamba nahsi kama ananinyanyasa'sasa sijui nina wivu au ndio mapenzi'kwa mfano nikiwa naendesha gari yake yeye ndio mwelekeza njia japo mi naona'na sitakiwi kwenda na gari yake popote pale mpaka yeye awepo'inaniumiza hadi nafikiria kama nijitoe sababu nahsi kama yatakuwa manyanyaso tu kila siku nitafute wa level yangu'japo tulianza mahusiano hana kitu'.

Zitengeneze fikra zako kiasi cha kuzifanya zikubali hali halisi kwamba huna gari. Mpenzi wako ana gari, lakini huyo si mkeo kwa hiyo hiilo gari sio matrimonial asset!

Halafu unataka kuchukua gari lake uende nalo wapi bila yeye kuwemo ndani ya gari hilo? Ungekuwa wewe ndiye umetangulia kupata gari, je ungemruhusu aende nalo anakotaka bila ya wewe kuwemo kwenye hilo gari?

Angalia usije kuharibu uhusiano wako kwa vitu vya mpito!
 
@the BOSS" mzazi umeongea hapa ni kuachana na hilo gari'mapenzi yawepo tu lakin nisiguse vyake'nmekupata kaka'

take it from me

ukitaka akuheshimu
mpe pesa ya mafuta na ya matengenezo ya hilo gari
but usiliguse kabisa....jifanye kama hulioni hivi...
mpaka ukinunua lako.....lidharau hilo gari....for now....
 
@MASAKI"Mapenzi yapo 100% isipokuwa ile hali ya kunielekeza mpaka barabara nipite wapi'wakati mi ndio nlimfundisha kuendesha hilo'akili yangu nzuri inajua kama cna na lini nitapata au sitapata'hyo hainisumbui hata isipokuwa kwann huniamini!! nipo kabla hilo gari halijapatikana'
 
the BOSS" Kuna wadada huwa wanakuzidi kwa income mpaka huez fanya kitu cha kumgaramikia ataona kama unajiumiza japo wataka kujikamua kama mwanaume'cjajua tatzo'inaezekana ushamba au kipya kinyemi au unafundishwa maisha upambane kama mwanaume japo ckuizi ni tofauti inaezekana mwanamke akawa ananguvu kuliko wewe dume'
 
Kama alivyokushauri The Boss, hilo gari wewe lipotezee!! Jifanye kama vile halipo kabisa! Na utaona raha tu na amani tele moyoni mwako!
 
the BOSS" Kuna wadada huwa wanakuzidi kwa income mpaka huez fanya kitu cha kumgaramikia ataona kama unajiumiza japo wataka kujikamua kama mwanaume'cjajua tatzo'inaezekana ushamba au kipya kinyemi au unafundishwa maisha upambane kama mwanaume japo ckuizi ni tofauti inaezekana mwanamke akawa ananguvu kuliko wewe dume'

basi cha kufanya wewe msisitize aendeshe mwenyewe
mwambie ili ajifunze aendeshe mara kwa mara....so usiwepo ulazima wa wewe kuendesha..
kaa nalo mbali kwa sasa hilo gari...kuna baadhi ya watanzania gari kwao ni kitu kikubwa saana..
wanavunja undugu achilia mbali uchumba kwa sababu ya gari..
 
Wana JF naomba msaada wenu kwa hili'nipo kwenye mahusiano ya zaidi ya miaka2 sasa'mpnzi wangu yeye amfanikiwa zaidi yangu'ana gari,tatzo ambalo mi linanikwaza vtu vyake ananipa kwa masharti sana kiasi kwamba nahsi kama ananinyanyasa'sasa sijui nina wivu au ndio mapenzi'kwa mfano nikiwa naendesha gari yake yeye ndio mwelekeza njia japo mi naona'na sitakiwi kwenda na gari yake popote pale mpaka yeye awepo'inaniumiza hadi nafikiria kama nijitoe sababu nahsi kama yatakuwa manyanyaso tu kila siku nitafute wa level yangu'japo tulianza mahusiano hana kitu'.

Siri ya kurudisha heshima ni:
1. Jitume sana kazini
2. Kama umeajiriwa, jitahidi kuongeza shughuli halali za pembeni zitakazokuongezea kipato
3. Punguza matumizi yako
4. Linda afya yako, ili uweze kuwa productive most of the time

Baada ya hapo jibu litapatikana tu!!
 
una akili sana wewe, tatizo lako hujui kusoma bode lengueji,lol!
w
take it from me

ukitaka akuheshimu
mpe pesa ya mafuta na ya matengenezo ya hilo gari
but usiliguse kabisa....jifanye kama hulioni hivi...
mpaka ukinunua lako.....lidharau hilo gari....for now....
 
kijana,tatizo lako ww nadhani hauko positive na hayo maendeleo yenu! kama anakuelekeza njia inaweza kuwa kwa nia nzuri tu,kuwa gari yenu iwe salama. niamni, wanawake tuko hivyo. mie namuelekeza kuendesha gari mtu aliyenifundisha mimi jinsi ya kuendesha!lakini asili yetu ni kuwa protective,hata kama ingekua ya kwako ndo angekuzonga nayo zaidi.hapo anakuhofia kuwa sensitive kama hivi! pia usi-focus sana kwenye gari kama anavyosema the boss hapo. muache apate raha na kufurahia mafanikio na utamuona anakubembelezea upate ownership ya gari.make sure iko sawa wakati wote,hakikisha haendi garage wala kuosha engine. be the man! ushakutana na mdada unamfukuzia ila wakati wote anamuongelea bf ama ex wake? ndo sababu hizo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom