Jf nisaidieni hili'

umeonaeeeh bishanga?lakin labda nafundishwa maisha'lakin ningkuwa nasty humu ningefuata nn! labda ningoje'
 
sawa king'asti sababu wewe ni mwanamke na umeongea hisia zenu naeza kukubali''lakin cjui kwann roho yangu inapata sononi na hili'unajua uko nyuma kabla bwana gari hajapatikana life was gud sana'tunatoka wote ucku'nowdays thngs change anapenda sana kutoka pekee'hili sikulisema'
 
Psychologically unaonekana hauko sawa na hata kama anafanya hivyo kwa nia njema kikubwa usijishushe kwake fanya kile ambacho ni sahihi na ukisimamie usiwe unabadilika na kujionyesha mnyonge mbele zake atakutesa sna so fanya maamuzi na usiogope kupoteza kitu... good luck
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom