Wasiwasi wako ni umri tu au kuna kitu kingine?
Kwa nini uendeshwe na hisia zaidi kuliko uhalisia? Moyo wa Glory kama nitkuwa nimekupata vizuri ina maan wewe ndiyo umemzidi huyo mbwanga miaka minne?
Wazazi wako ulishawahi kuwasikia wakisema kuhusu suala hilo la umri na wakalijengea msimamo kama suala la tofauti za dini lilivyo?
Hata hivyo usife kwa presha kama mnapendana mwa dhati ukikifika wasaa pelekaneni kwa wazazi ili musikie wanasemaje?
Kama itatokea wakawa na mawazo sambamba na hisia zako fungeeni dasara la kumananisha kwa wazazi wenu natumani hawatakuwa wakoloni kama wale wa miaka 47.
Najua tatizo lako siyo kubwa ila umelikuza mwenyewe halafu likakutisha!!!!! Ulishawahi kufunga mlango wa nyumba yako halafu ukatoka safari kisha ukaanza kuwaza kuwa hujafunga mlango na ukaogopa kwelikweli na kama unamoyo mwepesi kuwa utaibiwa kila kitu kwa HOFU AMBAYO UMEIJENGA MWENYEWE KUWA LABDA SIJAFUNGA VIZURI AU SIKUFUNGA KABISA!!!
Ni mtazamo tu.