...,,hatuchezi bila ya helaaaaaaaaa
View attachment 152870huyu mwana JF mwenzetu alizinguwa Mabaunsa wa JF wakafanya kazi yao
Basi watupatie hayo manoti.
View attachment 152870huyu mwana JF mwenzetu alizinguwa Mabaunsa wa JF wakafanya kazi yao
Huyu atakuwa member mojawapo wa #TeamBazazi ....
Hebu itikeni hapa nione kama mpo wote isijekuwa mwenzenu yuko ICU bila ninyi kujua...
Wapi Babu Asprin, Nicas Mtei, mwekundu, Mentor, Mndengereko na wengine wote
Halafu Deejay nasmile hebu gonga skelewu nijirushe na charminglady Kidogo.. Karucee ntacheza naye get la coin
Naona una ham na makonde ya kichwa..ahahahaa
Nimekukosa aisee,msalmie sana wa ubavu wako
mmmmh atakubali kweli>????? maana nimemuona kwene kona kuleeee yupo na.......na....na..naa Katavi
View attachment 152973
Huyu nae nasikia ni member wa jf.....kuna yoyote anye mfahamu jina lake..maana hiyo stail yake ya uchezaji duuuuuuuuuuuuuuuu
View attachment 152975
Post yako hii loh
niaje mkubwa
Huyu atakuwa member mojawapo wa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamBazazi]#teamBazazi [/URL] ....
Hebu itikeni hapa nione kama mpo wote isijekuwa mwenzenu yuko ICU bila ninyi kujua...
Wapi Babu Asprin, Nicas Mtei, mwekundu, Mentor, Mndengereko na wengine wote
angalia usije ukaenda cha jinsia tofauti