Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
haya sasa kwa mbali naona wapendanao haoo wanaingia ni Arushaone na Lady doctor piga keleleeeeee!!
Werrrra werrrraaaaaaaaa!!!!!!!:target::target::target:
...,,hatuchezi bila ya helaaaaaaaaa
Duuuuh,aya lisongeshe na "happy" ya pharrel williums! Legooo
haya sasa kwa mbali naona wapendanao haoo wanaingia ni Arushaone na Lady doctor piga keleleeeeee!!
duuu!! kwa mbali namuona ladyfurahia amezima mbaya palee dah na kile kinguo alichovaa sasa!! kweli pasaka hii ina mambo!
afu nasikia Dr Ruge yupo getini anapiga mzinga eti aingie bure daaah
Natafuta mlango wa maliwato nisije nikaharibu hapa kaunta bureee
Dah... Waliingia kwa style tofaut
Chezeiya pasaka weye....
Dah,umenisaidia xana mkuu,maana wangeanza kudai picha