JF ni anti intellectualism, aspiration & middle class?

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
18469096v1_480x480_Front_Color-White.jpg

Thread sounds catchy eeh?

I'm afraid inaweza kuhamishwa kwa sababu it does not reasonate with the mentality ya watu humu which is quite rather sad

Nakumbuka the old JF used to have the likes of Prof Mbilinyi's and so on lakini sasa hivi tumekuwa kama vile chaka la ma anti intellectuals, free minds and mbaya zaidi we are all forced hate those without different opinions.

Its supposed to make us think independently lakini naona imekuwa kama vile we are back to the dark ages. Its always about sidelining views na hii ni hatari sana.

I mean kama kuna mtu anasema anaonekwa kwa sababu ya dini yake...well bring it on awe Mohammed Said au Kakobe. I mean tutaendelea kuwakimbiza watu mpaka lini? January Makamba na JJ MNyika wangekuwa formidable members humu lakini we are so bent on attacking them as individuals than anything else.

Sasa uvumi ni kuwa hii ni forum ya CHADEMA na mimi nawajibu si kweli kama ingekuwa hivyo mbona hatuoni matangazo ya Chadema?

Do you guys remember those days JK alikuwa halali mpaka aingie kutazama JF? well nowadays apparently he can be found browsing pages za New York times and Goodman Bergdorf !
 
You are right mkuu,
but that was then.. there is a new generation now.. they are hungry..a quick change!
 
I mean kama kuna mtu anasema anaonekwa kwa sababu ya dini yake...well bring it on awe Mohammed Said au Kakobe. I mean tutaendelea kuwakimbiza watu mpaka lini? January Makamba na JJ MNyika wangekuwa formidable members humu lakini we are so bent on attacking them as individuals than anything else

point to be noted
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom