JF na "Wabeba Box"

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
521
Reaction score
88
Inaonekana wapo wengi hapa, hebu tujitaje / tuwataje :biggrin:

Mi naanza na "Gaijin", mkuu vipi box la Japan linalipa?:A S wink:
(username imekutoa mkuu)
 
mbeba box ni yupi mbona mimi sielewi
 
Mboni sisi wabeba kuni mashambani mnatusahau wajameni!?
 
Mie nabeba box pale Tandale Uzuri.
 
Napenda wabeba box wanavyoleta post zao wanauchungu sana kuliko tuliopo nyumbani ila wananikera waoga sana hawapendi wajulikane
 
Ukishawataja inakuwaje?
Kuna zawadi ya mbeba box wa mwaka?

Zawadi atawapa nani, wakati wote akina sisi njaa tupu
Ni katika kupambanua tu ndugu, yupi mbeba box, yupi mkulima......nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…