Jf Mnyukano: Soma Shairi langu uelimike

Jetrudatabha

New Member
Jul 18, 2021
3
3
#Hakika Jf ni mnyukano, Nami ni nani nisiunge mkono.

Kilicho bora milioni tano, kuwa balozi si kibano.

Nitashinda huu mtifuano, ukinipa hiyo yako tano.

Kwa maandishi Ambatano, na hoja changamano.

#Tulilisubili hili shindano, Kuleta hoja chanya.

Jf sio mvutano, nawe waweza jichanganya.

Kwa hoja zako tano, vingi waweza kusanya.

Hapa sio malumbano, hushinda mwingi wa chanya

# Hoja zenye kujenga, Na zenye Mabadiliko.

Jamii si kuitenga, Na huu ndio mwaliko.

Sera chanya kuchanga, Wana Jf kwao ndo heko.

Kizazi imara kujenga, kisicho na mihemko,

# Nidhamu ndio msingi, kuyapata mafanikio

Waambie hao warangi, Nidhamu ndio kioo

Kuna ubishani mwingi, Baba wa mafanikio

Nidhamu ndio kigingi, zingatia ule mafao

#Kaa chini fikilia, Eti siasa maji taka

Mpya katiba twaitaka, ya kake imechoka

Ina mambo yakusadikika, wachafu hufunika

huwabeba vibaka, wengi kama mapaka

# Katiba ni sheria mama, msojua niwajuze

Twapaswa kusimama, nchi tusiiuze

vijana akina mama, andiko tusilipuze

Msimamo kusimama, sheria tujifunze

# usawa kusimama, kila mtu oyaoya

sio kukicha kulalama, kila mtu kula soya

keki iwe salama, sote twimbe aleluya

Tanzania yangu mama, sintokuonea haya.

#Nitakupigania Daima, Misingi nitailinda

Sera zilizosimama, zituwezeshe kushinda

sheria zisizo lawama, zisizo zakupinda

zisizo bagua vyama, milima kupanda

# vijana kunufaika, sio kubweteka

mpya katiba kuiweka, kesho njema kufika

Ajira kujengeka, Imara msingi kusimika

Nawe dada na kaka, urithi kuuweka

#Tamati naifikia, Kura yako kunipigia

Mshindi kuwania, mimi ndo mtia nia

shairi kuwaimbia, tano kuchukua

Jf sana nasifia, imepigania demokrasia.

NAOMBA KURA YAKO YA HALI NA MALI
 
Habari leo mujini, katiba mpya sikia,
Yadaiwa kama deni, Mdaiwa kakimbia,
Mapolisi kulikoni, wadai kuwazuia?
Enyi msiohusika, hoho vipi ziwawashe?
 
Hapo inatakiwa kwenye 5M wakupe hata ya kulipia pango maana umeshuka vyema
 
Back
Top Bottom