Jf mmeitumia vipi long wked?

Jf mmeitumia vipi long wked?

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Habari ya mapumziko wana jf? Habari ya Easter, Tumesherehekea vipi? Tume enjoy? Hebu tupeane stori kidogo maana ilikuwa ni Long week end! Na matukio lazima yalikuwepo. Mimi ilikuwa nzuri saana ila kidogo ma ATM yalitaka yaniumbue sehemu nyingi miamala ilikuwa inasumbua. Madimbwi ya maji nayo yaliharibu kdg.
 
Daahhh..
mie niliona ambulance na gari la police
nashukuru Mungu bado nahema..
easter yangu ilikiwa chachu la kini
ilibadilika kuwa tamu baada ya ndugu
jamaa na marafiki kunisaidia hapa na pale..
na shukurani zangu ziende kwa wana JF
walionipigia mnajijua . Mungu awabariki sana..
Na ninawapenda wote..
 
pole sana dadaa! ubarikiwe pia!
 
Ilikuwa nzuri mie nilikwenda kusali nakwenda kusafisha makaburi ya ndugu zangu waliofariki kitambo

Hii ikopoa mydear! nilidhani ulilala tu maana kihali ya hewa Bongo kilikuwa condyusivu
 
Japo mambo yalikuwa ni mengii, lakini kwa muda nilioupata niliutumia kwa kukaa nyumbani mwa Bwana kwa ajili ya kula na kunywa chakula cha uzima!!!!

Namshukuru Mungu anipaye uzima tele!!! najua haya yote ni kwa neema yake tu ambapo Pasaka nyingine tena itanikuta nikiwa na nguvu na afya tele!!!!
 
Habari ya mapumziko wana jf? Habari ya Easter, Tumesherehekea vipi? Tume enjoy? Hebu tupeane stori kidogo maana ilikuwa ni Long week end! Na matukio lazima yalikuwepo. Mimi ilikuwa nzuri saana ila kidogo ma ATM yalitaka yaniumbue sehemu nyingi miamala ilikuwa inasumbua. Madimbwi ya maji nayo yaliharibu kdg.

Elia it seems ulitumia sana eeh, hope hujamaliza zoote. To me it was a very long weekend, familia yangu yote haikuwepo. Kweli nilipumzika kimajukumu nikaishia kuangalia movies. Alaf jamani kwa yeyote ambae amengalia London Boulevard ya Farell & keira naomba kujua pale mwisho ikoje - Jamaa kafa au? mana its killing me not knowing.
 
Unajua tuna kuwa busy sana ukipata tym kama hii, unafanya complete refresh Ukianza nzigo ni kwenda mbele! Hiyo movie sijaiona ila umenipa home work niitafute!
 
Nilikuwa busy sana na JF hadi wakati mwingine nilisahau kula
 
Nilikuwa busy sana na JF hadi wakati mwingine nilisahau kula

Umeona eeh? i believe JF sometimes its all the food u need. Gaga atleast inaonesha u did something u enjoy.
 
To me i was bize na kazi,i don hev weekend au ckukuu.ckukuu ni siku yoyote ukiwa na chapaa.
 
Ilikuwa poa tu,baada ya ibada tunakaa kijiweni kula ghahawa na kashata.
 
that was very good and kind for you.ni mfano wa kuigwa.keep it up.

Kwa hali ya hewa hii, subiri miezi mitatu uone ongezeko la kina nanihii clinic ! :smile-big: :smile-big:
 
Back
Top Bottom