Kuna jamaa wapo Kinondoni nawajua huwa wanaleta nguo za kiume na kidogo za kike kutoka Nairobi, unajua Nairobi wana nguo nzuri sana na viatu and at a very reasonable price
Hatoroki mtu hapa, na sisi hatutoki ng'ooo. Hata wao juzi walizamia k'party yetu.
Superman namba 6, Coral Ridge Spur Steak Ranch au maarufu kama Spur ni pazuri sana they have nice steak na vyakula vingine their prices are reasonable, its an ideal place for the family na mwenzi wako.
Unapenda sana kunionea lol
Oooh Yes nguo za kule za ukweli you can't go wrong, Sasa umejua nilikuwa nataka kukupeleka wapi??Naunga mkono hoja. Nguo na viatu from Nairobi ni very kiwango.
mi zat msemo wa wanawake tunaweza tukiwezeshwa I hate it hao waloweza waliwezeshwa na nani?mwanamke pambana fanya kazi kwa bidii,kuwa mwaminifu na Mshirikishe Mungu ktk mipango yako unangoja kuwezeshwa na nani?kwa malipo gani?ili iweje?
Mkuu pale JM MALL Harbour View Suites pazuri sanaNi kweli Mkuu, nakusoma.
Pia Open House pako Cool sana. Peackock wana Usiku wa Mtanzania na New Afrika pia. Kuna Restauraant nyingine zimekaa poa.
Bagamoyo pako outdated siku hizi . . . wapeleke watoto na mamaa Mkuranga, Lushoto nk. Kuna viota poa sana.
Clubs: Billicanasi noana noma sana, watoto kibao na ma CD nk. Savanah watoto wa shule na Chuo wamejaa. Tuongelee labda level 8 Kempiski au wafwate the Tanzanite. Kwa Mzee Kick pia panfaaa La prima kama unataka zilipendwa.
Kama vipi vipi wafwate Twanga au FM Academia nk. But not good for a chick!
hahahahaha
mmmmhhh tusiwalize tu
hahahah lol
i'm real enjoying this lol
Good Stuff Superman, hayo maduka ya Rozana Samora na lile la pale opposite na Mavuno bei ziko chini tofauti na lile la Mlimani City
ukienda kwa watu unahakikisha unafanya yale yaliyo mema tu ili hata siku ukiondoka wakukumbuke. AfroD hapa tuko kwa watu so tuhakikishe wenyeji wetu wanafurahia uwepo wetu ili hata tukiondoka watukumbuke!...lol...
Nimejua.....lol..... Kama ni huko twende tu ndugu yangu!...Oooh Yes nguo za kule za ukweli you can't go wrong, Sasa umejua nilikuwa nataka kukupeleka wapi??
Wananishangaza sana sijui wote huwa wanaenda huko huko kufanya nini kuleta sample zile zile Kinondoni ukiingia maduka yanayouza nguo za kike ukienda maduka mawili au matatu you will find the same outfit
Sasa twende The Paddington pale St George's Bay Road au lets head to Lime on Ponsonby, Club 4:20 on KarangahapeJibu nimekupa
sasa niulize lingine basi hahahah lol
Nitakpokuokoa kwenye Zahama na Masumbuko ndo hapo utaanza kuongea ukijiuma kidole na kuangalia chini huku ukicheka cheka na kuchora chni kwa Miguu.
I am a superman. Not a Human Being . . . haaaa haaa
haya dada mtam ntajaribu
maana nilipanga mpaka TF arudi home leo analia hahah lol
lakini ntaacha sasa ngoja niwa support hahah lol
Sasa twende The Paddington pale St George's Bay Road au lets head to Lime on Ponsonby, Club 4:20 on Karangahape
Naweza kusema ilitokea bahati mbaya suti tukaenda kununua kwenye hilo duka la mlimani city bei yake nilisema sitorudi nafikiri bei wame double na pango la jengo maana bei ya kitu hicho hicho kwa maduka yao ya mjini iko cheapDuh Mkuu, mimi mshamba kidogo niko pande ya mbali. nakumbuka kuna Duka pale Mlimani City na wana Designer items pia. Limetulia.
Bei za wale zikoje?