Habari wakuu, naomba msaada wa kupata kumi bora ya members wa JF wenye IDs za ajabu ajabu kwa mnaowafahamu, nina zawadi kwa atakeyechukuwa nafasi ya kwanza. Nimeomba orodha hii, kwa sababu binafsi nimekuwa mhanga wa kutumia ID ya namna hiyo hasa ktk kuomba masuala mbalimbali kibiashara au kutaka msaada fulani.