JF Members wenye IDs za ajabu...!!

JF Members wenye IDs za ajabu...!!

mm naomba niwe wa kwanza kuchukua zawadi basi pls kwani jinalangu walionaje
Habari wakuu, naomba msaada wa kupata kumi bora ya members wa JF wenye IDs za ajabu ajabu kwa mnaowafahamu, nina zawadi kwa atakeyechukuwa nafasi ya kwanza. Nimeomba orodha hii, kwa sababu binafsi nimekuwa mhanga wa kutumia ID ya namna hiyo hasa ktk kuomba masuala mbalimbali kibiashara au kutaka msaada fulani.
 
Unaposema jina la ajabu unamaanisha nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom