JF members waliofanikisha walichotaka 2016.!

TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,908
9,450
wana jf inakuwaje? leo nina kautafiti kutoka kwenye ubongo wangu kwahyo source ni ubongo wangu(kwa wale mnaotaka source leo mtaambulia tomato source mkalie pweza na najua wananchi wengi wanaotakaga source wanakalia sanasana kigogo au wengine wanakalia upanga hapa dar es salaam).kuna watu hapa jf walitaka baadhi ya mambo kwenye jamii yatimie mwaka huu na yametimia kweli sasa roho zao ni nyeupe kama kivuli cha mzungu.thread zao zimebadilisha mambo katika jamii au hapa jf watu hao ni(note list hii itakuwa updated kutokana na mambo yatakavyoendelea kuwa katika jamii.
1.@bitoz..huyu jamaa amefanya mpaka jf imekuwa ya kila member mambo ya kusema bora shule zifungwe warudi shule au division zero zinawasumbua yamekoma.mshkaji alitaka usawa ndani ya jf yeye akishirikiana na mimi TADPOLE na Th Name tulianzisha makapuku forum inayosumbua hapa jf kwa kuwa na reply nyingi tumefanikiwa kuweka usawa mana dharau zilizid wakongwe walikuwa uzi hauwahusu utasikia nenda kaoge ulale.so bitoz kafanikiwa kuweka usawa
itaendelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom