Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,939
Njoo samaki samaki mlimani city leo saa 12 jioni. Wale utakaowaona pale wengi ni wana JF. Una hela ya bia lakini?
uonane nao ana kwa ana? utaweza kweli? :A S 39::A S 39::A S 39:
hii yako ni noma humu umeona haitoshi!
Waungwana nawasabahi...
Leo nipo dar wapi naweza kuonana na JF member wengi tubadilishane mawazo!
Asanteni
Njoo samaki samaki mlimani city leo saa 12 jioni. Wale utakaowaona pale wengi ni wana JF. Una hela ya bia lakini?
Nenda JUKWAA LA CHIT CHAT wape hiyo khabari.
kweli JF halina dogo sasa kama humu haitoshi mbona wengine wakija mikoani wanawaomba kukutanana na jf member wa mkoa husika..İron lady jibu lako ni thibitisho la ugreat thinker au ujuaji fake..???bora ungeuchuna walionielewa wakarespond mdada
ah nilikuwa nauliza tuuuuuu
uonane nao ana kwa ana? utaweza kweli? :A S 39::A S 39::A S 39:
hii yako ni noma humu umeona haitoshi!