Ya alovera na muarobaini..Supu ya pweza?
KigomaHizo zote ni hoja za kufikirika, mleta mada wewe ni wa wapi?
umenena ukweli Live and Direct bila chenga madogo wa huko ni walaini mbaya hawa pooling ya kupasua papuchi tunawasaidiaga kinyama.Naandika tabia nilizoziona humu kwa members wa Jf ambao ni wakazi wa Dar na ambao ni wakazi wa mikoa mingine tofauti na Dar
. Members wa Dar
1. Wanawadharau sana wale wamikoani
2. Wanaamini dar ndo kila kitu
3. Huwa wanadhani Jf ni ya wakazi wa dar tu
4. Wanaamini members wa mikoani ni washamba sana kuliko wao
Members wa mikoani
1. Wanaamini wanaume wa dar ni wazembe sana hawawezi kufanya kazi ngumu
2. Wanaamini asilimia kubwa ya wasichana wa dar ni body-seller
3. Wanaamini asilimia kubwa ya wanaume wa dar hawana nguvu za kiume hadi waji-boost na pweza+viagra
4. Wanaamini dar ni sehemu ya wahuni kiasi kwamba ukiingia unapaswa kuingia na akili tabia utazikuta hukohuko
Hii ni battle kila mtu anavutia kwake ila sio mbaya tukiambiana ukweli ongeza tabia ambazo unaona members wa dar au wa mikoani wanazo mwisho tutapiga kura nani kazidi kwa tabia za hovyo
Hahahahhh, mkuu umetishawanaume wa mikoani wanawaza ngono tuu,mimba za utotoni,wanakunywa sumu kisa mapenzi,wanachomana visu na dispisi kisa mwanaume au mwanamke, wanatumia nguvu nyingi kuliko akili na kisha hupata maitaji ya kula tuu,imani za kishirikina kuamini sana uchawi na uganga kuliko hospitali, ni watu wa kutawaliwa kifikra! hasila za kijinga na kujifanya wababe kumbe ujinga mwingi kichwani!