JF members tunafahamiana?

Hata mimi nahitaji kuwafahamu jf member katika eneo nililopo, sijawahi kumuona wala kukutana na member yeyote wa jf.
 
Wapo wanaofahamiana,

Wapo wanaofahamika bila ya wao kuwafahamu wanachama wenzao,

Wapo pia wanaojifanya wanawafahamu wenzao hali ya kuwa katika uhalisia hawawafahamu hata kidogo.

Yote kwa yote kutokufahamika kunampa nafasi kubwa ya uhuru wa mawazo mwanachama,pengine hata kuandika vile ambavyo anahisi kama angekua anajulikana na fulani na fulani humu asingeweza kuandika.
 
namfahamu mmoja tu, tulisoma nae kitambo, hata hivyo nimemfahamu kwa vile ni verified user, anatumia jina na sura yake halisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom