Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Feb 23, 2016 #181 Mzee wa Torano said: mambo best Click to expand... Pouwa
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Feb 23, 2016 #182 nawajua 10 nimekula na kunywa nao
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Feb 23, 2016 #183 Tunafahamiana kweli wala sipingi. Nimeshapigiwa simu mara kadhaa na washikaji/watu tunaofahamiana, kuotokana na baadhi ya mambo binafsi ninayochangia/niliyoyachangia. Lakini poa, hakuna tatizo
Tunafahamiana kweli wala sipingi. Nimeshapigiwa simu mara kadhaa na washikaji/watu tunaofahamiana, kuotokana na baadhi ya mambo binafsi ninayochangia/niliyoyachangia. Lakini poa, hakuna tatizo