Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,319
- Thread starter
- #381
Mkuu, kwani Banana ipo kata ya Kivule?Mimi banana hapa tujuane
Mkuu, kwani Banana ipo kata ya Kivule?Mimi banana hapa tujuane
HapanaMkuu, kwani Banana ipo kata ya Kivule?
Poa mkuu sasa hivi nipo BananaEeeh kaka.
Kuna demu wangu anakaa Banana kule reliniMimi banana hapa tujuane
Kwema mkuu?Ulikuwa wap kumwambia Waitara.
KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema Jeshi hilo limefanikiwa kuwaua majambazio watano na kufanikiwa kukamata bastola aina ya star ikiwa imefutwa namba ikiwa na risasi tatu ndani ya magazine na maganda ya risasi mawili.Uko wapi sasa hivi nikugonge Bia 4
Waziri Lukuvi ameagiza kuchukuliwa hatua na kuchunguzwa watendaji wote wa chuo cha ardhi Morogoro (ARIMO) waliohusika kuchelewesha urasimishaji makazi katika kata ya Kivule Dar Es Salaam.Nakuja hapo