JF members ktk picha enzi zao

Kama Primary amevaa kaptura ya kijani bado bwana mdogo sana, kumbe JF inawatoto hivi??
Hapo kijani ni ipi?. Kumbe JF ina vichaa watu wazima kabisa
 
Hapo kijani ni ipi?. Kumbe JF ina vichaa watu wazima kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Blue bana na wewe yanini kuitana vichaa na Swaum yote hii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…