JF members ktk picha enzi zao

Ata mi siyo miongoni mwao karucee na niliiependa tu iyo maana inanikumbusha enzi hizo mpira wa makaratasi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimecheka sana aisee...hata ningekua mm nisingemaindi nahisi ningecheka sana,
eti jua kali lkn amevaa sweta hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]

Nilikua sijui...kumbe na ww ni mkorofi wa chini chini eeh![emoji3][emoji3][emoji3]


Hahaaaaa.

Mara pili hii naitwa mkorofi usiku huu.

cc Daby, mbalizi1

Ila kiukweli leo nimekuwa mchokozi sanaaaa.

Nadhani yanayonijia yanafurahishaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaaaaa.

Mara pili hii naitwa mkorofi usiku huu.

cc Daby, mbalizi1

Ila kiukweli leo nimekuwa mchokozi sanaaaa.

Nadhani yanayonijia yanafurahishaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ukorofi wako upo na sense of humor...ni burudani pia kwa ss ambao hatujakorofiwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji2]

So i say keep it ON [emoji14][emoji14][emoji12][emoji6][emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…