Cocktail and mocktail party

everythingood

Member
Feb 20, 2017
97
125
kama wewe ni mpenzi wa vinywaji na hufurahia michanganyiko ya vinywaji au ungependa kujaribu michanganyiko ya vinywaji maarufu kama cocktail(mchanganyiko wa vilevi) au mocktail(mchanganyiko usio na vileo),bhasi hii si ya kuacha.Ni siku ya jumamosi tarehe 16/12/2017 pale lazy lizard kuanzia saa 11jioni na kuendelea..Utapata vinywaji vilivyochanganywa kwa ustadi mkubwa kutoka kwa innovative queens vyenye vileo na visivyo na vileo.Njoo na rafiki,jamaa.. ni "freaky saturday cocktail and mocktail day"..kwa maelezo zaidi piga namba zilizopo kwenye picha hapa chini...pia follow account instagram @innovativequeens..karibuni sana..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom