Jf Members Arusha na Moshi

Karibu Arachuga mkuu, membaz tumejaa tele, you will never regret.
 
wenzako wako faster...we unashangaa tu changamka daughter uniletee mkwe mdhungu
Hahahaha, dady umesahau sio kila king'aacho ni dhahabu? Kwani humtaki mkweo nitonye?
 
Last edited by a moderator:
Halafu nimegundua kitu hapa Well known members wengi wa Jf wengi wanatokea Arusha.

Ngoja niendelee kufanya utafiti kwenyee huu uzi..
 
Tatizo uko arusha ngarenaro, mgeni anataka apokelewe na watu wa mjini kama Mungi. Na plz Mungi kama mgeni jinsia yake ni she hakuna kwenda kumpokea!

ha ha haaa!! Nani kakwambia niko ngarenaro na wewe embu acha umbea wako...usitake kunipeperushia ndege wangu bure.
 
Tatizo uko arusha ngarenaro, mgeni anataka apokelewe na watu wa mjini kama Mungi. Na plz Mungi kama mgeni jinsia yake ni she hakuna kwenda kumpokea!

Tulikubaliana kuwa wageni wote wenye jinsia ya She wanapokelewa na mimi na wewe! kwani Young Master ni gani?
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu jf ni zaidi ya family mpm membe mmoja anaitwa PakaJimmy atakupa maelekezo.
pia kuna safari ya kutembelea sehemu mbalimbali hope utaenjoy zaidi ukiwa na sisi msimu huu wa sikukuu

uje na madollar ya kutosha eeeh
 
Last edited by a moderator:
Asee karibu Mo Tauni jombaa, tukutane hapo Malindi weekend hii.
 
Sorr, nilikuwa namaanisha Delegate ni jinsia gani......... siyo Young Master!
tatizo sweetlady anawamezea wageni wenye jinsia ya He.
Halafu we huna kibali cha kupokea wageni hebu kaa pembeni yangu upande wa kuume
nadhani ni he...anakuja kunipa pole tafadhalini muacheni mgeni wangu
baada ya mwezi nitamleta mwenyewe arusha
 
nadhani ni he...anakuja kunipa pole tafadhalini muacheni mgeni wangu
baada ya mwezi nitamleta mwenyewe arusha

Ohooooooooo Smile usiseme hatujakuambia, hatutaki uje unatembea upande upande tairi moja in pancha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…