Sijawai kumsikia akijiita nabii au mtume lakini Mshana jr alitabiri mapema kabisa kwamba Mwamposa ataachiwa na kuwa huru kuendelea na shughuli zake.
Pia aliongelea wale 20 ndugu zetu wametolewa kafara kumpandisha daraja Mwamposa ili awe na "power" zaidi na umaarufu maradufu ya aliokuwa nao.
Huo uzi uko humu humu JF. Kama mwenzetu amekuwa sahihi kwenye kipengere cha Mwamposa kuwa huru je na ile habari ya kafara huenda yuko sahihi.
Sidhani Mshana utakuwa wazi kutumegea ulijuaje, ila mi nadhani rada zako kali sana
Kama S400 . Ungekuwa wewe ni mwamposa ungestuka kule Moshi Mwamposa masikini rada ziliona giza.
Mi naanza kuwa na imani na Mshana potelea mbali yuko dini ganiau anapata je data zake
POVU RUKSA POVU RUKSA
Cc. Mshana