thanks mkuu, kama upo mjii huu tutafutane, nimefikia Kolping hotelkuna kampala moja tu. karibu saaana ktk jiji la kujitanua kila siku. ila jiweke vizuri ukikaaa ovyo utaluzwa
karibu uonje rolex na kikomandooo mlo saafi sana
mkuu mwezi wa 11 naweza nikaja kampala so napend unijuze ghalama zaaisha ukoPoa ila mie niko kampala town maeneo ya Nasser rd, naona wewe uko maeneo ya bwaise ila hio hotel naijua ilipo
Upo hdi lini?
hebu nipe taaarifa kamili unakuja kukaa muda gani?? unafikia hotel ama unaenda kupanga chumba??mkuu mwezi wa 11 naweza nikaja kampala so napend unijuze ghalama zaaisha uko
Mwezi unaokuja nakuja ntakuwa mitaa ya mawanda road ......kama mtu wa beer tutakutana kisimenti hpoPoa ila mie niko kampala town maeneo ya Nasser rd, naona wewe uko maeneo ya bwaise ila hio hotel naijua ilipo
Upo hdi lini?
😀😀😀 Kama unatokea Congo (pale Kariakoo) unakwendaa hadi unapita Mombasa (ya Ukonga) halafu ukienda mbele zaidi unafika Kampala ya Gongolamboto... 😀😀😀mkuu ungefafanua vizuri maana kampala zipo nyingi
Mwezi unaokuja nakuja ntakuwa mitaa ya mawanda road ......kama mtu wa beer tutakutana kisimenti hpo
Ova
Mwezi unaokuja nakuja ntakuwa mitaa ya mawanda road ......kama mtu wa beer tutakutana kisimenti hpo
Ova
Nahitaji kujua fursa za kibiashara uganda
Nahitaj nikafanya kilimo au bishara ya mazao Uganda maana Uganda IPO guru kwa biashara kuliko Tanzania hakuna export burn ya mahindi kama hapa TanzaniaInabidi uwe specific, hilo swali liko kijumla mno na sio rahisi kupata jibu
ila fursa zipo nyingi tu
Nahitaj nikafanya kilimo au bishara ya mazao Uganda maana Uganda IPO guru kwa biashara kuliko Tanzania hakuna export burn ya mahindi kama hapa Tanzania
Inamana na Uganda wamezuia kuexport mazao Kenya kama hapa Tanzaniakaribu na kwa mwaka huu haujawa mzuri kwa wakulima maana wastani wa nvua kwa kila mwezi imekuwa mala tatu kwa mwaka wote so bei yavmaza imeshuka saana kwani wengi wamezalisha kwa wingi
kwa export hakuna shida
sijasema wamezuiaInamana na Uganda wamezuia kuexport mazao Kenya kama hapa Tanzania
sijasema wamezuia[/QUOTE
Suali zuri sanaSasa nipe Generally situation ya kibiasahara huko kama ntakuja na mtaji wa million I sita tsh