JF member KONGOSHO

Kwa maelezo haya ndo umemchanganya kabisaaa....Kongosho sema neno moja tuu na roho yake ipate amani...Me au Ke?:A S-coffee:

basically, jinsi ni kisehemu kidogo sana cha mwili
ukipima ratio ya mwili mzima na kijinsi utakuta mwili ni mkubwa zaidi
iwe kwa mass au volume

ndo maana sikipi uzito sana
 
Ah Kongosho huyoo anataaamba humu ndani kama Mbuni wa pale Magogoni...
 
Inakurasa zingi
nashindwa kuisoma aisee
nimemwita consultant aje anisaidie

hope atamaliza mapema niwape jibu.

Ngoja nilog off, leo mke wangu kanuna.
Kongosho sema jinsia yako unatuchanganya aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…