Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 91
ila kweli MsaniiSipo usiseme hivyo maana anaweza akaja mtu ukampa majukumu halau ukaenda sabbatical ukirejea unaanza kulia kwanza. teh teh.
ila kweli MsaniiSipo usiseme hivyo maana anaweza akaja mtu ukampa majukumu halau ukaenda sabbatical ukirejea unaanza kulia kwanza. teh teh.
oops ngoja nikasajili ka Binti kangu Michelle kataikuta ID 16000 kakikuwa
. Mkuu nitaijaribu hiyo mechanism yako nione effective yakeI have a Multiple-ID detector; akiwa ni duplicate nitam-delete mkuu