JF mahali wakutanapo Maprofesa na mambumbu kubadilishana mada na hoja mbalimbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF mahali wakutanapo Maprofesa na mambumbu kubadilishana mada na hoja mbalimbali

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Aug 11, 2011.

1. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#1
Aug 11, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,299
Likes Received: 22,084
Trophy Points: 280
Laiti tungekuwa tunatumia majina yetu ya kiukweli nadhani JF isingekuwa tamu kama ilivyo sasa.
Kuna maprofesa, wasomi mbalimbali, wasio soma na watu wa kila aina. Lakini wote tuna haki sawa ya kuchangia chochote na kukosolewa.
Yaani humu safi sana unaweza ukajikuta mtu kama Malaria SUgu ni mkuu wako wa idara hapo ofisini kwako, au Nazjaz ndio mmiliki wa kampuni yenu.
Long live JAMII FORUMS

2. Money Maker

Money Maker Senior Member

#2
Aug 11, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 147
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mie huwa namuhisi boss wangu ndiye Malaria Sugu, humwambii kitu kuhusu CCM hata mgao wa umeme yeye hudhani umesababishwa na maandamano ya CDM tu.

3. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#3
Aug 11, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,299
Likes Received: 22,084
Trophy Points: 280

hahhaha hahahahah hahaahhahhahahahah yaani mabosi wetu bwana hovyo kabisa

4. Sumbalawinyo

Sumbalawinyo JF-Expert Member

#4
Aug 11, 2011
Joined: Sep 22, 2009
Messages: 1,286
Likes Received: 25
Trophy Points: 0
Jf imenipatia mke msomi, mi niliishia form six lakini mke wangu ana masters.

5. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#5
Aug 11, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,299
Likes Received: 22,084
Trophy Points: 280

wapo wenzako wanaishia kuumizwa moyo na kulizwa na wanawake wa JF

6. Katavi

Katavi Platinum Member

#6
Aug 11, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,469
Likes Received: 4,128
Trophy Points: 280
Hapa ni zaidi ya kijiweni.

7. Katavi

Katavi Platinum Member

#7
Aug 11, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,469
Likes Received: 4,128
Trophy Points: 280
Hongera...

8. Muuza Sura

Muuza Sura JF-Expert Member

#8
Aug 11, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,990
Likes Received: 218
Trophy Points: 160
wengine wamepata maadui humuhumu!

9. Fidel80

Fidel80 JF-Expert Member

#9
Aug 11, 2011
Joined: May 3, 2008
Messages: 21,976
Likes Received: 104
Trophy Points: 145

mawazo mgando haya mbona wengine ndo majina yetu vifisadi vidogo ndo mnaficha majina yenu mnaogopwa kumulikwa

10. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#10
Aug 11, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,299
Likes Received: 22,084
Trophy Points: 280

Bujibuji sio fisadi mdogo ila ni gumegume lililomshinda mtume

11. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#11
Aug 11, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Dah! Kweli bujibuji nimekukubali!

12. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#12
Aug 11, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280
sasa mkuu unavyomkula unajisikiaje?

13. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#13
Aug 11, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,299
Likes Received: 22,084
Trophy Points: 280

Kwani kadiri vidato vinavyo ongezeka ndio ladha inabadilika? Ngoja nisiongee sana Bro sumba ajieleze mwenyewe

14. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#14
Aug 11, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180
Mfano halisi ni mimi...! Elimu yangu ni la saba la zamani. Nikiwa hapa najiona kama mhitimu wa chuo kikuu jamani. Masikini mimi Mwendabure...!

15. mopaozi

mopaozi JF-Expert Member

#15
Aug 11, 2011
Joined: Nov 17, 2010
Messages: 3,290
Likes Received: 105
Trophy Points: 160
Malaria sugu ni kiongozi serikalini tena almaaeuf!!

16. Shine

Shine JF-Expert Member

#16
Aug 11, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Kutowepo kwa jina halisi inatupa uwanja mkubwa wa kuwa wawazi

17. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#17
Aug 11, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,299
Likes Received: 22,084
Trophy Points: 280

viongozi wetu du........
Sisemi sana, nsije nikaitwa mdini, mchadema, mkabila, mlugaluga, mvulana, mlajana, mlakesho, mlawiti,mlambia na mengine meeeengi

18. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#18
Aug 11, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,299
Likes Received: 22,084
Trophy Points: 280
halafu Faiza Foxy unajua anafanya kazi gani??? Otea

19. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#19
Aug 11, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160

jana jioni aliniuzia mihogo ya futari

20. Old-Timer

Old-Timer Member

#20
Aug 11, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 76
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
hahahahahaaaaaaaaaaaaa

Loading...