<br />Ni kwamba wanawake wa rwanda na burundi ambao waume zao ni madereva wa malori ya masafa marefu,wamebuni utaratibu mpya.Wakijua wazi waume zao wako katika mazingira hatarishi kupata VVU,kabla ya waume zao kuanza safari,huwafungia shehena ya kutosha ya condoms.Wanajua wazi huko waendako wanalala na wanawake lukuki.Siku mume akirudi nyumbani,may be baada ya wiki 2,3 au hata mwezi na nusu,mwanamke akigundua zile condoms zimetumika,hufurahi sana,kwani anajua mumewe anajilinda.Vp akina dada wa JF,mumeo anaenda safari ya muda mrefu,je waweza mfungia shehena ya 'zana' ndani ya begi lake la safari?(source,BBCswahili)
Shauri yako utakufaIshu ya condoms
sio watu hawapendi kutumia
ishu ni kuwa baada ya pombe watu husahau
huku condoms zipo mifukoni mwao.....
Ishu ni pombe
wao si wamejihalalishia kama vile ni halali na sie ni haramuIshu sio kumfungashia condom ishu ni je atazitumia?mm siwezi kufanya upumbavu huo wa kuvunja nyumba yangu kwa mikono yangu mwenyewe je na mm nikiwa ni mfanya biahsara nasafiri safiri na mm atanifungashia CARE?
Ishu ya condoms
sio watu hawapendi kutumia
ishu ni kuwa baada ya pombe watu husahau
huku condoms zipo mifukoni mwao.....
Ishu ni pombe
kitafunio cha chai ni mkate,andaz ,chapati and other type of bite's WHILE KITAFUNIO cha bia ni mwanamke..