JF ladies come here, special for you!

JF ladies come here, special for you!

kukucd

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
307
Reaction score
196
Habari za wakati huu wadada.

Leo nataka nizungumze nanyi,hivi hi tabia ya kumuachia housegirl kila kazi ya nyumbani imetoka wapi hii ?

Unamuachia hadi kazi ya kutandika kitanda unacholala na mumeo! asubuhi unakurupuka tu kurupu unaenda kazini, binti aje akutandikie kitanda na kama ndo MR sikuhyo hajaenda kazini basi ndo dada wa kazi ampikie chai,amuwekee maji kwa bafu,ampasie nguo,hivi huyo binti akimilikiwa na mumeo utamlaumu nani?

Umetoka kazin eti madai yako umechoka chakula cha jioni anapika huyohuyo housegirl,hivi kweli unaitakia mema ndoa yako?ujui mumeo anakula nini usiku binti wa kazi ndo anapanga chakula cha mumeo.

Hivi kwenye kitchen party hukufundwa? Jirekebisheni mliopo kwenye ndoa na usiombe ukutane na housegirl stadi mumeo atafuliwa mpaka boxer na wewe utabaki tu kusema nimeibiwa mume jamani! shauri yako jirekebishe usilalamike kuibiwa mume mdada.
 
Habari za wakati huu wadada.... Leo nataka nizungumze nanyi,hivi hi tabia ya kumuachia housegirl kila kazi ya nyumbani imetoka wapi hii ? Unamuachia hadi kazi ya kutandika kitanda unacholala na mumeo! asubuhi unakurupuka tu kurupu unaenda kazini, binti aje akutandikie kitanda na kama ndo MR sikuhyo hajaenda kazini basi ndo dada wa kazi ampikie chai,amuwekee maji kwa bafu,ampasie nguo,hivi huyo binti akimilikiwa na mumeo utamlaumu nani? Umetoka kazin eti madai yako umechoka chakula cha jioni anapika huyohuyo housegirl,hivi kweli unaitakia mema ndoa yako?ujui mumeo anakula nini usiku binti wa kazi ndo anapanga chakula cha mumeo.... Hivi kwenye kitchen party hukufundwa? Jirekebisheni mliopo kwenye ndoa na usiombe ukutane na housegirl stadi mumeo atafuliwa mpaka boxer na wewe utabaki tu kusema nimeibiwa mume jamani! shauri yako jirekebishe usilalamike kuibiwa mume mdada.
uishike na ikae akilini!we unasema wanini wenzio wanasema watampata lini!
 
Mimi kila kitu knafanywa na housegirl, na sijawahi kumtamani hata cku moja. Nimekamilika kiakili, mke ni mke na housegirl ni housegirl. Full stop
mwanafyale housegirl afanye kila kitu mke akiwa wap?umemuoa ili kuilea familia wewe ni 1 ya familia yake, kwahyo ni majukumu yake.basi wewe ni unique upo tayari kila siku kula chakula cha dada wa kazi, cha mkeo utakula lini?au ndo mpaka ajisikie kukupikia
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanaume kama ni kitombi atakuwa kitombi tu!!!!
hayo mengine ni kumsingizia shetani.........

chukua nafasi yako kama mwanamke,fanya ya mumeo kwa ajili ya familia na si kumtegemea dada wa kazi!najua itawatouch watu hapa na opposers watatokea wengi
 
wadau swala la chakula labda km yupo home atatakiwa kutake care of it ila itakuwa ngumu muda wote awepo coz cku hzi maisha ni kila mtu kutafuta na hayo mengine mpaka ayafanye nani anampa km c huyo mwanaume na tamaa zake???????!!!!!!!!!!!!!!! cha muhimu baba jiheshimu umchukulie huyo binti km mtoto wako wa kumzaa naye atakuheshimu.ni marufuku h/girl kuingia chumba cha baba na mama labda kwa dharura chonde chonde wamama
 
mwanafyale housegirl afanye kila kitu mke akiwa wap?umemuoa ili kuilea familia wewe ni 1 ya familia yake, kwahyo ni majukumu yake.basi wewe ni unique upo tayari kila siku kula chakula cha dada wa kazi, cha mkeo utakula lini?au ndo mpaka ajisikie kukupikia
Yule nimemuoa kwa ajili ya mambo mengine, chakula hata hotelini nakula. Tatizo lenu nyie mnadhani kujifanya watumwa kwa waume zenu ndio mtazuia vidumu. Mke wangu ni mwenzangu na sio mtumwa wangu. Lol!
 
chukua nafasi yako kama mwanamke,fanya ya mumeo kwa ajili ya familia na si kumtegemea dada wa kazi!najua itawatouch watu hapa na opposers watatokea wengi

Bado sana mieeeee....afu kazi yangu mie hata housegirl simuhitaji
kuna vitu vingine kuviongea ni rahisi ila kiuhalisia haviwezekani labda maisha ya kina zinjathropus
ila kuna watu no way lazma housegirl akamate usukani tu labda kama waamue kuacha kazi na kusaka mshiko
wachunge mbouo
 
Dunia imebadilika kidogo siku hizi, house girl inabidi asaidie kazi nyingi ili kupata muda wa kukimbizana na maisha. Lakini i agree with you kuwa house girl ana mipaka ya kazi zake. Asifike kwenye boxer tafadhali
 
Mimi kila kitu knafanywa na housegirl, na sijawahi kumtamani hata cku moja. Nimekamilika kiakili, mke ni mke na housegirl ni housegirl. Full stop

Akili ni nywele.......... kwa hiyo wewe sio standard ya kila mwanaume. Kila mtu ana akili zake, na pia mapungufu yake. Mleta uzi ameleta jambo la muhimu ambalo kila mmoja kwa nafasi yake atalinyia kazi.

To me, siwezi kuruka na hause girl wangu, ni bora nikatafute huko nje.
 
Nitakapokuwa Mama wa nyumbani hata huyo house girl sitamuhitaji kila kitu nitafanya mwenyewe. Ila kwa sasa hivi kwa vile nami nachakarika kuongeza kipato yupo ananisaidia badhi ya kazi za nyumbani.
 
mwanaume akiwa ni mtu wa michepuko,hata ufanye shughuli zote na hg usiajiri,atachepuka tuu
 
Huwajui wanauwe wewe, hata ukiwa mama wa nyumbani huna house girl unamfanyia yote bado atachepuka tu!
 
Mtoa mada we ni ke au me?
Kama ni ME,unakuwa hujachoka ukitoka job??kazi za home unazielewa kweli?
Kumtaka beki3 tabia ya mtu tu..hainaga hyo unayosema hapo juu,ma mifano live tunayoo
 
Mwanaume mwenyewe ukute matunzo F maudhi kibaoo,af nimuhangaikie wa kazi gani...
 
Akili ni nywele.......... kwa hiyo wewe sio standard ya kila mwanaume. Kila mtu ana akili zake, na pia mapungufu yake. Mleta uzi ameleta jambo la muhimu ambalo kila mmoja kwa nafasi yake atalinyia kazi.

To me, siwezi kuruka na hause girl wangu, ni bora nikatafute huko nje.
Kaka sijakuelewa, unanisuport au unasuport main thread?
 
chukua nafasi yako kama mwanamke,fanya ya mumeo kwa ajili ya familia na si kumtegemea dada wa kazi!najua itawatouch watu hapa na opposers watatokea wengi

dada wa kazi usawa huu wa life la siku hizi hakwepeki..yani mtu hela nnayo af ntoke mjini nije nianze kupiga deki ndani,inahuu..akuuu nifike home na mi nipimzike,mguu juu niangalie tv na badae ni-njunju na my hubby...
Pesa tunatafuta ili zitupe a comfortable living..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom