Mtoa mada yupo sahihi. mm nimemuelewa 100%.
Kutokana na maisha tunayoishi ya kuhangaika wote housegirl ni mtu muhimu sana. Hata mtoa mada hajapinga kumuajiri beki 3 anachokemea ni kumuachia majukumu yote housegirl ambapo ni kosa.
Mfano. Kutandika kitanda chenu mnacholala, kufua boxer za mumeo n.k
unakuta mama hajui km mtoto anaumwa au ameshindaje nyumban yy yupo bize.
Sikatai kusaidia lkn nikosa kumfanya housegirl km mama wa nyumba.
Najua unaweza kusema natoka kazn saa 4 usiku. Ni sawa.
Tenga muda hata siku ya j'mos na j'2. Uwe karibu na watoto, waulize shida, uwasaidie home work, pika chakula hata myooshee your husband nguo zake. Hii italeta heshima kweny ndoa.
Utakuta mwanamke kitanda anatandika housegirl, papuch anabana, hata kusema apike hata chai weekend hakuna, matus mengi akiudhiwa kidogo tu. Hiv unafikir mumeo ashindwe kumgegeda housegirl? Tena akipata nyumba ndogo ndio anahama kbs sbb hata akiondoka hawez kujutia.
Housegirl ni mtu muhimu sana ila awe na mipaka ktk familia yako.
Big up sana mtoa mada