nimetuma sana maoni lakini hakuna hata siku moja waliyorespond hata receipt ya post.
pili kama hawayatilii maanani maoni yetu humu sidhani itasaidia kwa mtu kujipendekeza kupost maoni yake ktk web hiyo.
tatu ni kwamba kama web ya state house haipo up to date unategemea uendeshaji wake upo makini kweli? nahisi ilikuwa
nimetuma sana maoni lakini hakuna hata siku moja waliyorespond hata receipt ya post.
pili kama hawayatilii maanani maoni yetu humu sidhani itasaidia kwa mtu kujipendekeza kupost maoni yake ktk web hiyo.
tatu ni kwamba kama web ya state house haipo up to date unategemea uendeshaji wake upo makini kweli? nahisi ilikuwa zimamoto
Mimi pia ni nimetuma majibu yangu kwenye hiyo website yao pasipo kupata majibu,nimekata rufaa lakini wapi mwishoe ndio nimeona ngoja nije huku JF baada ya mshikaji Tumsam kunitonya kusuhu jf.
Hata mimi nilijaribu kutafuta majibu lakini sikuambulia chochote. hii website ipo kama pambo tu. sidhani hata kama kuna mtu aliyepewa dhamana ya kui-update.
Mhh....nadhani wananchi inabidi tuwe ngangari kudai uwajibikaji wa vyombo mbalimbali serikalini, tetesi nilizosikia(naomba kusahihishwa) ni kuwa website ilitumia zaidi ya TShs 300 milioni sasa kama hakuna linaloendelea kama maoni yako yalivyo ina maana hela imepotea kama ilivyo kwa ufisadi mwingine tunaoujua.
Mimi pia ni nimetuma majibu yangu kwenye hiyo website yao pasipo kupata majibu,nimekata rufaa lakini wapi mwishoe ndio nimeona ngoja nije huku JF baada ya mshikaji Tumsam kunitonya kuhusu jf.
Hiyo si walitengeneza Raha.com na wanai-host wenyewe kwa ushirikiano na CATSNet?Website ya wananchi ipo siku nyingi tu.....ila sijui kama imeshawahi kutangazwa kuwa ipo na inafanya kazi
Hiyo si walitengeneza Raha.com na wanai-host wenyewe kwa ushirikiano na CATSNet?
See this:
Mi nilidhani ni ya majaribio... Kila kitu pale kiko dormant sijui kwanini. Hakuna majibu kwa kero walizopelekewa na wala sidhani kama muda upo tena, 2010 ndo hii tushaanza kuionja kwa uchaguzi wa serikali za mitaa mlangoni.
Sisi tutoe maoni yetu alimradi lengo ni kuijenga nchi yetu.usiogope usalama wa taifa wewe toa hoja watu wachangie, hapa jf tupo kujenga si kubomoa na pia hao usalama nao wanataka habari ili watambue yanaoendelea so usiogepe endelea kutoa maoni yako mzee,
Kujenga kwa upande wao inaonekanana ni kubomoa ,fisadi inakuwa ni kiongozi ambae wanamtolea saluti ,lakini ukiwambia wanaemtolea saluti ni muhujumu uchumi aloo itakuwa umewapatia kibarua ,si umeona yule aliemzaba Mwinyi ,jamaa wa usalama walionyesha fani yao ,kwa yule kijana mmoja ambae alikwisha maliza kazi ,alieruka kun-fu ,judo kuna mmoja nasikia alinguruma kama Bruce Li ,ukisikiliza ile kideo ,unaweza kuisikia sauti yake kwa mbali ,mwanzo nilikuwa siamini lakini nikaisikiliza kwa makini ,na kuthibitisha kuwa ni ukweli.Sisi tutoe maoni yetu alimradi lengo ni kuijenga nchi yetu.
Hapo sawa!... Hapo vipi?
Hivi papasi yukoje?