LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,599
- 1,142
Salaam.
Mimi ni member wa miaka mingi hapa. Sijawahi kuwa na ukorofi na mtu hapa jukwaani wala mtaani. Nimepost jambo langu hili serious imekuwaje mkalipeleka sehemu ya chit-chat and jokes?
www.jamiiforums.com
Kama kulikuwa kuna tatizo lolote kwanini msiniambie?
Kwa kweli sijapendezwa... So my post is a joke?
Mimi ni member wa miaka mingi hapa. Sijawahi kuwa na ukorofi na mtu hapa jukwaani wala mtaani. Nimepost jambo langu hili serious imekuwaje mkalipeleka sehemu ya chit-chat and jokes?
Logoriddim: Naomba Kura Zenu: Shindano la Made in Tanzania Brand
Mimi Logoriddim (JF - expert member since 2013, nimefanikiwa kufika katika 3 bora ya shindano la kutafuta nembo ya brand ya MADE IN TANZANIA. Shindano hili limeandaliwa na TanTrade. Shindano limefikia hatua ya kupigiwa kura ili kupata nembo bora zaidi. Kura inapigwa katika app ya Instagram...
Kwa kweli sijapendezwa... So my post is a joke?