Mimi si moja wa wafanyakazi wa TPN ingawa natenga muda wa kutosha kushughulikia majukumu yangu kama kiongozi.
Majukumu yangu kama Rais yalivyoainishwa katika ni kama ifuatavyo:
Presidents duties and responsibilities shall be;
- a) To Chair the relevant meetings of the Organization
- b) To oversee the functions of the Organization
- d) Responsible for ensuring that the function of the Organization are carried out properly, in accordance with the constitution stipulation and generally supervise the Work of the organization.
- e) Preside at all general and executive meetings.
- f) Prepare and deliver the annual presidents address at every annual General meeting.
- g) A signatory to cheques and other withdrawal papers.
- h) Any other duty as may be assigned to him/her by the Executive Committee or any other of the Organization organs.
Daang,
I could go for mishahara ni asilimia ngapi ya michango ya wanachama? TPN inapata wapi funds? na asilimia ngapi ni mishahara?
Mambo mengine sijui kama yanafaa kuanikwa, kama jina lako vile, au mshahara wa mtu.
Sanctus,
Thanks for your maelezo!! greatly appreciated.
Kuhani,
hiki "chama cha wasomi na mashirika" mbona mimi sijaiona hiyo clause? wewe waitoa wapi?
Jamaa haeleweki. Halafu ni Raisi wa hicho chama cha professionals. Raisi!
Hata kama sio msanii, inawezekana ni mbabaishaji. Ana wa mesmerize watu na upole wa maandishi yake. Inawezekana ni mkenge! Hivi Wabongo tutajifunza lini kuangalia maneno matamu kimagutu?
Presdent Mtsimbe,
How does TPN view the whole issue of East African integration and harmonization of labor laws?
Jamaa haeleweki. Halafu ni Raisi wa hicho chama cha professionals. Raisi!
Hata kama sio msanii, inawezekana ni mbabaishaji. Ana wa mesmerize watu na upole wa maandishi yake. Inawezekana ni mkenge! Hivi Wabongo tutajifunza lini kuangalia maneno matamu kimagutu?
Huko unampeleka mbali mno.
Kwani yeye expert wa labor migration and regional economic disparity?
Yeye anatakiwa kuwa expert wa Katiba yao. Na kashindwa kuekeza au kukubali kinaga ubaga kwamba Clauses za Uanachama, 3.1.1, 3.1.2 na 3.1.3 ni vituko, hazijaandikwa ki "sound mind" kama wanavyotaka wanachama wao wawe. Clause 3.1.3 inafuta hizo mbili zingine!
Rais Mtsimbe ajiuzulu.
Hii kiboko....yaani kujiuzulu mara hiii?! kufanyia marekebisho hizo sections ni contribution iliyotukuka.
...I am not paid by being TPN leader nor am not getting any allowances
Kwani ameanza Urais jana?
Ndio maana alipoanza kukubali kubali matatizo ya Katiba akaulizwa swali ambalo hajalijibu, au hawezi kujibu:
Huo ubovu wa Katiba umeung'amua hii juzi ulipojiunga hapa au ni toka zamani na ukaja hapa kuinadi bila ku disclose toka mwanzo kwamba ina matatizo.
Yani inawezekana kafanya uzugaji. Sasa hii inahitaji, sio kujiuzulu kwa hiari, ila kuuzulishwa.
Impeach President Mtsimbe!
LOL . . . naona umeamua kunisemea . . . . Still refer to my previous qury to u.
I can step down as long as you will vie to be a president . . . . LOL
Just a quick one to you: I am not paid by being TPN leader nor am not getting any allowances. Ni ukereketwa na uchungu tu wa kutaka kuleta maendeleo ya nchi.
Inasikitisha kuwa mtu kama wewe umekuwa ukikasifu tu bila hata kuja na hoja mbadala . . . Kazi kweli kweli. Itafurahisha kama nawe utajitahidi ulione hilo
Hizo sio kazi?
Tanzania inaangamia kwa sababu, moja ya nyingi, kushindwa kujieleza kwa kina Pinda na kina Makamba aliesema ufisadi ni uzinzi tu.
Raisi hueleweki.
Impeach President Mtsimbe!
Mkuu waswahili husema ukiumwa na nyoka,basi ukiona majani yakiyumba unaogopa......Huwezi kujua kama embe lina mdudu ndani bila ya kulimenya....ni jambo zuri mtu kuwa cautious lakini kuna wakati ni mzuri mtu uka gamble...
Dear Mr President,
Find hereafter my queries, would be pleased if you could answer them, relating to the quality of your member and accreditation procedures:
1. If one wants to join TPN what is the minimum qualification must have?
2. How does TPN determine the credibility of the qualifications of its members?
3. Is the quality assurance policy applicable at TPN? Here I want to know if you reject some applicants because do not meet your standards.
4. What is your priority? The approval of the member to join the network or payment of fees? Here I want to know types of documents one need to produce before can be allowed to pay the due fees?
5. I am a member of a professional body; I remember how long it took me to be registered. How long can it take before I can become a full member of TPN?
6. How are the interests of members protected? Who is the Patron/Matron of TPN?
7. How much are the registration and annual fees?
8. What are these fees cover?
Thank in advance for your answer
Njimba
... Pengine sukuelewi vema au hunielewi vema. Kama uko sawa unaweza kunipa namba yako ya simu, nikakupigia ili tuongee maana wakati mwingine kuelewana katika maandishi inaweza kuwa vigumu.
JF mawazo hayafanani, na siku ukiona yanafanana basi ujue hakuna anayewaza. He is right sio...usikate tamaa hata Kikwete anatakiwa kujiuzulu. Kaza kamba za viatu vyako ili visikuvuke hata utakapojikwaa. Rekebisheni hayo mambo vitu vitaenda. Ni vizuri kujua udhaifu na kukubali mapema kihivi.
Huko kwenye simu na kwenye vi-memo ndio mafisadi huwa wanaanza kutongozana huko. (Natumia Kiswahili figuratively, simaanishi mahaba hapa.)
Transparency inataka kuwekana sawa hadharani, ili kama nakosea katika kukosoa nikosolewe.
Sitaki faragha faragha. Huko naweza nikawa corrupted.
Ukishindwa kuelezea kwa maandishi huwezi kuelezea kila mtu kwenye simu.
Walima njugu na korosho wa Mwanalumango sio wote wana simu. (Kama chama chenu kinakubali wauza njugu.)
Ahsante kwa mwaliko, lakini mazungumzo ya faragha hapana.
...bado hoja ya kimsingi iko palepale. Mpaka sasa wewe ni mshindi . . . Sasa tunaomba maoni yako mbadala . . .