Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,036
- Thread starter
-
- #201
Yah ..but to let anybody enter in that society regardless of w/ther he/she is proffessional or not provided she/he has only the money to join and pay the annual subscription fee..i think inaenda tofauti hata na jina la Society yenyewe TPN...so kama na shilingi 100,000 alafu nimemaliza zangu form four nikataka kuingia kwenye hichi chama na hakika milango itakuwa wazi sababu hela ya kuingia ambayo ndio kigezo kikubwa according to iyo email..je na mimi pia nitaitwa professional sababu niko kwenye chama cha ma professional???????/
labda mtsimbe atufafanulie vizuri kuhusu vigezo vya kuwepo hapo kwenye hicho chama....ni hela yako tu au na na academic qualifications pia zinaangaliwa?? na kama vinaangaliwa ni njia zipi zitumikazo ku assess????
Naitwa Sanctus Mtsimbe na naomba niungane na wana JF wengine waliojitambulisha kwa majina yao halisi na kutoa mwito wengine wafanye hivyo ili tuweze kuungana na kufanya mambo ya kimmsingi sasa yanayohitaji kufahamiana na kukutana.
Nimekuwa msomaji mkubwa wa JF toka mwaka 2007 na leo nimeona ni vema nami nijitokeze kuandika machache. Napenda kuishukuru na kuipongeza JF na uongozi na wanachama wake kwa kazi kubwa na nzuri manayoifanya katika kuleta changamoto mbalimbali.
Napenda kutoa mualiko rasmi kwa kuwakaribisha wana JF wenye mtazamo na mwelekeo wa kupenda maendeleo ya kweli kujiunga katika Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (Tanzania Professionals Network, TPN). TPN ni mtandao unaowaunganiasha wanataaluma wa fani mbalimbali bila kujali nafasi au vyeo vyao ikiwa na madhumuni ya kuwezeshana Wanataaluma na Wananchi kwa ujumla kiuchumi na kifedha.
Kwa kuwa michango mingi ya Wana-JF ni kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa Watanzania na Nchi kwa ujumla (Kitu ambacho TPN pia inafanya), karibuni sana tuweze kuungana na kuonana katika mikutano ya mara kwa mara ambayo ina lengo la kuboresha maisha yetu.
Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea tovuti ya www.tpn.co.tz (Bado tovuti inaboreshwa . . . )
Na kama kuna ufafanuzi wowote unahitajika, tafadhali tuwasiliane kupitia barua pepe president@tpn.co.tz au +255-754-833-985.[/SIZE]
You hope?? Kwani wakufunzi ni wakina nani? Give recent examples please. Pia kama network yenyewe itajaa watu ambao si "Professional", tu wale wenye uwezo wa kulipa hiyo 100,000. Such network doesnt sound very useful...
Kitila,
It should be remembered that the President of TPN came here openly to invite people to join his organisation and has done everything possible to market. I think was well prepared for any outcome of his gesture.
I asked him simple questions for clarifications; instead of coming with clear answers he just said should read past threads.
Nawakilisha,
Njimba
You are right Njimba, but i thinks Mtsimbe has many things to tell us concerning his Organization..let us give him a chance to wash out all the worriers we have, and i hope one day majority members of JF will meet in the TPN Meetings as the active members of that Professional Network.
Mtsimbe please clear this.
Ewaaaaaaaaaaaaa Bana Kitila
I Expressed This Eeaaarly In My Post; Thanks Mkumbo For Noting The Same... Bado Naendelea Kusema, Wenye Nia Njema Na Walio Walengwa Watapata Habari.
Na Wale Tuliozoea Yetu Kila Wakati Tutaendelea Kufanya Uchunguzi/research Ili Ku-discredit.
Yaleyale... Kama Ni Udanganyika, Basi Una Maana Nyingi... Hata Ile Tu Ya Kudhani Unajua Na Kumbe Unajidanganya
Tpn Is Important And Tpn Is A Network And Not Project, Ngo, Etc.
You Can Join Network And Leave Upendavyo..
Njimba,
Your concerns are genuine and justifiable, especially with regard to the qualifications of membership, which I also very much share. Nevertheless, you cannot make such a bold conclusion, that they are just there to milk the poor wadanganyika, on the basis of this particular flaw in the TPN Constitution.
What really troubled me in your post is the impact of your unsubstantiated claim on the morale of people behind such genuine and noble cause as TPN. We have serious problems befalling our country and we need to encourage, not ridicule, any effort that is trying to help our people realise their potential, and it is this big picture that I decided to give TPN the benefit of doubt. If I were you, therefore, I would ask the TPN leadership to consider their membership criteria, without necessarily ridiculing them and putting mud in their initiative.
In any case, my understanding is that the TPN call for support is a voluntary one; if I dont want joining I would simply keep quite or say no quitely without trying to discourage others who maybe convinced, however flawed the organisation may appear.
Lastly, your comparision of your decision to display private communication between you and TPN and the posting of EPA and other public reports in this forum is, to say the least, utterly and unbeliavably inconsiderable and misguided. I am sure you know very well the public interestdness in the EPA report, which cannot, at any rate or level, be matched to TPN, something that is still less than an NGO! I just want to believe that you're simply joking by raising this point!
Tuendelea kuwasaidia hawa ndugu zetu TPN wasimame ili wasaidie kuchangia kiharakati nchini mwetu, sio kuwabeza!
Mkuu can you please explain the differences among network, Project, Ngo, Etc.
And You Can Join Network and Leave Upendavyo .... so longer umelipa subscription fee? I that what you mean?
Sorry I seem not to understand you here.
Njimba
Habari za leo bwana Mkumbo,
Unanifanya niwe na maswali hapa,
Usingependa kuona Njimba anarukia kwenye conclusion. Hayo maneno hapo juu umeyasema hapa zaidi ya mara moja, na kwa kuwa sijapata uhafahamu mzuri wa madhumuni halisi ya TNP hadi sasa, kauli yako inazidi kunichanganya.
Please don't keep quote is a cumbersome situation such as that (text in red).
.
In my own understanding Sanctus Mutsimbe has explained enough to either rouse one intent and interest to join or not. If one is interested, enough information has been shared here. And to the contract, if one needs to make an informed decision either for or against TPN that decision can easily be arived at, by going through the posts from the beginning, I believe there is plenty to go by!!!
asante kwa jibu lako mzalendo Rais. Nimefuatilia huu mjadala na nimegundua kuna wakati huwa unajibu maswali wakati wa usiku sana,hii inadhihirisha jinsi ulivzokuwa commited na kuiendeleza jamii za watanzania kupitia TPN.Nakushukuru kwa niaba ya watanzania wengine na again nakuahidi ushirikiano wa karibu later this year.
Kazi njema.
Karibu sana JF kwa mara nyingine. Ni vema ukawakaribisha members wa TPN wajiunge hapa vile vile (wale mbao hawaifahamu JF) natumaini umekwisha fanya hivyo ili waweze kutoa mawazo yao kama vile ulivyofanya na tuendelee kulisukuma gurudumu la maendeleo kwenye kila nyanja kwani baada ya hapo ndipo utakapoona members wengine wa hapa hapa JF wakiichangamkia hiyo organization. Tunashukuru sana kwa kutuwezesha kuifahamu zaidi TPN.
Karibu sana kwenye jukwaa la siasa vile vile ... ... Karibuni sana wana TPN kwani mtaongeza changamoto hapa kwa wale ambao hamjajiunga.
Asante sana ndugu yangu Zemarcopolo, unajua hawa wakulu usipowajibu haraka, wanaweza kudhani hauko serious. I must respond to each post kwa kuwa usipofanya hivyo watadhani una wadharau.
Toka thread hii ianze nimekuwa nikilala kati ya saa 8 na saa 9 usiku kwa kuwa siwezi kujibu mchana kwa haraka kwa sababu ya majukumu mengine. kama saa hizi tayari ni saa nane na dakika tano za usiku.
Usijali Mkulu ndo majukumu yenywewe haya. Thank you for your comment.
Mzalendo Njimba . . . vyote ulivyovitaji ni vyama visivyo vya Kiserikali (Non State Actors).
Ni matumaini yangu hilo suala la fees nimelitolea maelezo. Kinachoanza siyo fees. Kwanza ni interest yako wewe binafsi tena ya hiari ya kujiunga na TPN, pili kupata particulars zako na kulipa fees au yote yanaweza kwenda pamoja.
Pia nimeeleza mifano mingi ya benefits mbalimbali ambazo mwanachama anapata. Kumbuka TPN inajiendesha yenyewe na haitegemei fedha za wafadhili.
Njimba, asante sana kwa observation zako:
Ni kweli ili uwe mwanachama active na kupata benefits zote ni vema ukilipa ada.
- Quality assuarance . . . kabla hujalipa fees kuna form maalumu ya kujaza either kupitia tovuti au fomu maalumu ambayo TPN itakutumia kwa ajili ya kuweka particulars zako. Mpaka sasa sijwahi kupata taarifa kama kuna application ambayo member haja-qualify. So no need to be worried on the issue of quality assuarance. Nadhani in practcal sense si rahisi mambo yote kuyaelezea katika email unayoi-refer.
- Qualification of member . . . nadhani nimelielezea hapo juu kwamba lazima ujaze form ya particulars zako. Pia refer categories of membership ingawa kimsingi TPN italiangalia upya suala hili.
- TPN is interested not only in quantity but also in quality and output as well . . . please refer above.
- Your 100,000/= contribution - As mentioned, TPN can't write everything on email. There must be other additional information on communication. If you have paid 100,000/= without completing the forms, then there might have been mistakes. Please confirm if this has happened to anyone.
- Harvesting wadanganyika money . . . LOL. Not clear, but I hope maelezo ya hapo juu yanaweza kukushawishi ufute usemi wako.
Mzalendo Njimba asante sana kwa maaoni yako . . .
My brother, you never came back to me with any questions as I requested, instead you picked up with an email from TPN Office administrator (I am not sure how you got it)
TPN.
Ahsante Mr President,
Maelezo yako nimeyasikia na nimekuelewa, ila tu kwa mtazamo wangu jina la organisation yako haliendeni na maana halisi ya neno professional.
Kwa kutumia OXford Dictionary:
Maana ya neno professional:
1) connected with a job that needs special training or skill, especially one needs special training and a high level of education:
2) (of people) having a job which needs special training and a high level of education:
Ukiangalia maana zote mbili zinataka "a high level of education".
Nina imani hata kama mawazo yangu hayajakupendeza sana ila jaribu kuangalia hilo. In red hapo juu nina linganisha na Swali la "Yai na Kuku Kipi Kilianza" .........
Ok Mr President kazi njema
Njimba
mkuu Can You Please Explain The Differences Among Network, Project, Ngo, Etc.
And You Can Join Network And Leave Upendavyo .... So Longer Umelipa Subscription Fee? I That What You Mean?
Sorry I Seem Not To Understand You Here.
Njimba
Mheshimiwa Njimba,
Nimepitia katiba na documents kadhaa za hawa bwana (TPN) ambazo zinapatikana kwenye website yao. Kwa upande wa wanachama wanasema inabidi uwe "graduate of a higher learning institution". Sasa wewe unatilia shaka kwamba mtu aliyemaliza degree au diploma ya juu atakuwa sio professional? Halafu uelewa wangu ni kwamba moja ya lengo lao ni kutengeneza professionals, so sioni tatizo ukijiunga kabla hujawa professional madamu una-meet the minimum requirement, na katika kushiriki shughuli zao ukapata profession unayotaka.
Nikwambie kitu, mimi nime-deal sana na NGOs Tanzania. NGOs nyingi ni za kibabaishaji na zinaendeshwa na watu wawili, watatu, na wakati mwingine mume na mke na wala huwezi kuzi-trace. sasa angalia hawa TPN, nimepitia website yao, eeh bwana, ni nadra kupata NGO ya namna hii TZ. Tena nimeona mkutano wao wa December 2007 ulikuwa na wanachama hadi 120!!! Nimepitia documents zao kadhaa, eeh bwana jamaa ni wazuri na wanajitahidi sana na wana vision kubwa kwelikweli.
Tafsiri yangu ya lengo lao kuu ni kwamba wanataka kuwajengea watanzania uwezo, hasa vijana, ili waweze ku-realise potential zao vizuri na hivyo kutumia hizo potential katika kujiletea maendeleo yao na kuweza kuchangia maendeleo ya nchi, don't you think this is a noble cause worth supporting?
Nikiwa mwalimu naelewa matatizo ambayo graduates wetu wanayo inapokuja kwenye swala la uwezo katika nyanja mbalimbali, ikiwemo hata kuandika barua nzuri ya kuomba kazi, CV, interview skilss, uanzishaji wa biashara, n.k. Sasa mimi bwana mtu yeyote anayejitokeza kusaidia kutatua hili tatizo nitamuunga mkono sana, ndio maana naona kwamba hawa TPN ni muhimu sana wasaidiwe.
Mimi binafsi, kupitia maelezo ya kiongozi wao mahiri huyu bwana Matsimbe na documents zilizopo kwenye website yao, hawa TPN wamenishawishi sana. Nitafanya maamuzi ya mwisho ya kujiunga nao au la mara nikifika Dar na kuwatembelea ofisini kwao.