hahahah lol
ntakwambia siku nyingine nliwaza nini lol
ulienda rehab ipi aisee maana na mi nataka kwenda huko
hahahah lol
Hahahaha lol! Sijapona sawa sawa maana huwa kaugonjwa kanarudirudi katika baadhi ya siku ππ hivyo subiri kwanza kama nikiona kaugonjwa kamepotea kabisa kabisa ππ Ndio nikupe hilo jina la hiyo Rehab Center, maana naogopa usije ukaliwa pesa zako halafu ukaanza kunilaumu, BAK umenipoanza nimepoteza pesa zangu chungu nzima ile Rehab yako imejaa wasanii watupu hahahahah lol!
NB: Hivi Quarter and Semi Finals za Rugby kule NZ zitakuwa lini? Nipe ratiba kama muda utaruhusu nataka niangalie.
Haya uwe na weekend njema
Shukrani AD, naona France wamewatoa England katika mechi ambayo wapenzi na mashabiki wengi wa rugby walitegemea UK washinde.
dahhhhh
Captain wa England alidondosha chozi ..
Nimefurahi France kushinda.. sababu wanaweza
kukutana na AB's kwenye final .. ..
Nway usikose game ya leo ..
Australia na South Africa..
Wengi tunaisubiri kwa hamu lol.. π
bak na ad,poleni kwa ka-addiction kengine ka rugby. aso na hili ana lile,ila mjiwahi b4 hamjahitaji rehab ingine. hasa ad,manake ukianza kuitiwa duty, mwenzio atapata sababu ya kusaka small house. bak yeye atafanya ubabe tu. furahieni wknd
Nimeangalia time ya mchezo kuanza ni poa tu hivyo nitaweza kuangalia, nilikuwa na wasiwasi labda inaweza kuwa usiku wa manane, hata semi finals (October 15th & 16th) na final match on October 23rd zote ziko katika wakati mzuri kabisa. Itakuwa poa sana kama South Africa watawaadhiri Australia.
Yaani itabidi nimtafuteQUOTE=afrodenzi;2617103]hahahah Pole dear
Mi skusemi wewe tuko wengi ..
kuna mtu anaitwa BAK anajua Rehab nzuri .....
Yaani itabidi nimtafute
Maana kama ni addiction ni balaa
Nimeamka bila hata kuswaki nishaingia JF
Hii ni balaa
Nitamtafuta anipe rehab ya nguvu niachane na hii kitu
hahahahahah
King'ast mami bado namfundika BAK jinsi ya ku "tackle" kazi ngumu kweli lol
Nawe enjoy weekend yako my dear ..
duhhh naona wameondoa kidude cha thanx again..
Yaani itabidi nimtafute
Maana kama ni addiction ni balaa
Nimeamka bila hata kuswaki nishaingia JF
Hii ni balaa
Nitamtafuta anipe rehab ya nguvu niachane na hii kitu