Una umri gani kwanza?
Basi sawa.Ana miaka 25 mkuu kazaliwa jan 94
bado mdogoBasi sawa.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Naona akili imeanza kukurudi. Safi sana.Acha wivu wakike mkuu au huyo demu unamjua nn maana naona umenikazia kinoma hata kama nidemu wako ila ndio mwenzako namkamua kwasasa
Nina mkeHahahaha ila Draka umenikazia kwani humu JF una demu nawewe maana nahisi kama vile nimekuchokonoa