Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,962
- 54,065
Msalimie mcharuko wako
Mtu akishakua na id fake huku ata kumwambia mama ako huwezi kwamba unatumia id gani sembuse mpenzii...hii chai kavu kabisaaSio chai jamani niukweli kabisa
Hivi unaanza lini kutoa course. Wana tuje tupate masomo ya kuanzisha nyuzi mjengoniKuandika uzi jf ni kazi sana
Una uzoefu wa miaka mingapi wa kuliwa biriani ?We kula kulala unajua nn, nyie mnaojifanya wagumu ndio waliwa biriani kwaasilimia kubwa mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vitafunwa tunanunua wenyewe au tusubiri vinakuja.
Very doomed.Wajinga wanazaliana kwa kasi sana. Ipo siku idadi yao itakua kubwa kuzidi wenye akili timamu.
Tatizo ni pale watakapomchagua mwenzao awe rais wa nchi!
We are doomed!
SawaNimapenz Inna
Wajinga wanazaliana kwa kasi sana. Ipo siku idadi yao itakua kubwa kuzidi wenye akili timamu.
Tatizo ni pale watakapomchagua mwenzao awe rais wa nchi!
We are doomed!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwani si walishatuzidi na wakamchagua mtu wao?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi simo!
Ukiona mshahara nimdogo siunaacha kazi jamani mbona sisi tumejiajiri namambo yanakwenda mkuu maana naona toka tarehe 1 mwezi huu waajiriwa waserikali hampo sawa kabisa
Una miaka mingapi ya kuliwa biriani ?Unahisi mwanamke mwenzako anafaidi sana. njoo nawewe nikupe mpini washoka