JF imetaka kunipeperushia njiwa wangu

JF imetaka kunipeperushia njiwa wangu

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
4,861
Reaction score
6,407
Jana nilileta humu uzi uliokuwa nakichwa chahabari 'ADUI WAMWANAMKE NIMWANAMKE MWENYEWE' banabana kumbe yule manzi wangu nayeye yumo humu.
Nilipoipost ule uzi nilikuwa zangu misele, kurudi jioni namkuta kanuna kinyama mimi nikahisi labda amekwazana nawapangaji wenzangu. Nikaingia chumbani ili anifate maana ishazoea nikirudi nikiingia chumbani nayeye atanifata atanivua kama nishati/t-shirt nasuruali . Sasa nimekaa chumbani naona kimya ikanibidi nitoke njee sindio nikamkuta ameingia JF naameufungua uzi wangu, akaniambia hii id niyako nahuu uzi umeopost wewe naumeupost ili iweje? Mzee baba nikamkatalia kuwa hiyo id sio yangu nikakaza kweli. Mimi nilikuwa sijui kama mpenz wangu nayeye anaakaunt humu hiyo jana ndio nikajua nawala yeye alikuwa ajui kama me ninaingiaga humu ila kupitia ule uzi na maelezo yaule uzi akaamini kabisa nimimi.

Nilipomkazia sana akaniomba kitambulisho changu chakupigia kura nikampatia kutaamaki akaniambia angalia mpaka tarehe ya kuzaliwa namwezi zinaendana na kitambulisho changu, nikawa nimeumbuka jamani. Mjue mimi nilifunguaga akaunti JF kwataarifa zangu sahihi hasa tarehe, mwezi namwaka nikweli nivyangu sijui nilikuwaga naujinga gani mpaka kufungua kwataarifa zangu sahihi. Ndio akaanza kuninanga eti me mjinga nisione watu wanapost humu JF nikazani ndio habari zao zaukweli mara, nawengine wanasema wanamaisha mazuri ila sio hivyo ila mimi kwaumbumbu wangu napost habari zangu zaukweli.

Kiukwel niliumbuka sana ndugu zangu ila nashukuru amenielewa , ila amenifunda sana na id yake ameniambia natukaingia nikaona post zake, amenishauri maisha yangu halisi nisiwe nayaleta humu nisiwe mjinga.

Sasa ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu huu uzi je ataona nimeyaleta tena mambo yetu yandani humu maana ameniambia hata id nibadili yaani nifungue akaunti mpya.

baby nisamehe kama utachukia ila huu ndio uzi wangu wamwisho kupitia hii id nakuhaidi, yumo humu jamani nanimchangiaji mzurii Sanaa humu ila uchangiaji wake unaweza kuzani nimcharuko kumbe wala mtoto wawatu hana mkuu, sikuamini kama ndio ile ni I'd yake humu mpaka nilipomwambia alog out alafu aingie tena ndipo nikaamini niyeye, ila siwatajii ninani, atakae otea nampa zawadi.

NB: kuanzia leo naomba mniite shemeji wa JF ila sisi jamani hatujakutania humu ila tumejikuta wote nimember wahumu, nawatakia usiku mwema shemeji zangu woteeeee...
 
Wajinga wanazaliana kwa kasi sana. Ipo siku idadi yao itakua kubwa kuzidi wenye akili timamu.

Tatizo ni pale watakapomchagua mwenzao awe rais wa nchi!

We are doomed!
 
Kwa uzi huu mpaka sasa alitakiwa akuache aje kwangu.
 
Kwa uzi huu mpaka sasa alitakiwa akuache aje kwangu.
Jana alitaka kuniacha ila nilipokiri kosa nakuikubali ile I'd kuwa niyangu ndio akanisamehe
 
Back
Top Bottom