Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
Huu ndio ukweli wangu!
Nahisi naendelea kupata Master sasa...
Vipi na wewe?
Nahisi naendelea kupata Master sasa...
Vipi na wewe?
Chuo sio lazima kiwe na madarasa na madawati. Chuo ni sehemu yeyote ambapo unajifunza mambo ambayo ulikuwa huyajui. Hakika JF ni chuo maana kuna jamaa zangu ambao baada ya kuingia jamvini kila siku wameelimika sana kuhusu Tanzania na hali yake ya kisiasa. Licha ya hayo, kuna habari nyingi zinaelezwa humu ambazo hazipatikani magazetini, nasaha n.k.Kwani humu Jf kuna chuo?
Kwani humu Jf kuna chuo?
Hee!
Ngoja tuache *(shule)* tukomae na jf.
Usiache mpendwa hapo kwenye nyota!
Humu pia ni skuli.
Chuo sio lazima kiwe na madarasa na madawati. Chuo ni sehemu yeyote ambapo unajifunza mambo ambayo ulikuwa huyajui. Hakika JF ni chuo maana kuna jamaa zangu ambao baada ya kuingia jamvini kila siku wameelimika sana kuhusu Tanzania na hali yake ya kisiasa. Licha ya hayo, kuna habari nyingi zinaelezwa humu ambazo hazipatikani magazetini, nasaha n.k.