Anamsubiri Trump ampokeeAyatollah yeye anasemaje?
Inakuwaje sasa umesoma mpaka chuo kikuu halafu unakuwa chawa wa wanasiasa wenye elimu ya darasa la saba mpaka kidato cha nne, plus elimu ya hapa na pale?Nimejifunza kwamba kama taifa tuna safari ndefu ya maendeleo.
Humu jf 99% ya member ni wasomi wa vyuo vikuu kama mimi. Naweza kusema ndio kinu cha kuchakata maendeleo.
Chakushangaza member wengi tunafata mihemko na bila kufanya analysis.
Trump anasema hivi jioni tunafata, mchana anasema tunashangilia, usiku kasema hivi tupo nae.
Yaani kama akili zetu zinaendeshwa na usa kupitia remote . Kama jf ina watu kama hawa , mitaani kuna aina gani ya watu?
Kama taifa tunatakiwa tujitafakari sana
Wewe ndiye unaongoza katika hilo kundi la wasio na msimamo, mara ngapi umejiapiza humu kuwa unatoka na kamwe hutarudi tena lakini bado umo humu. Masikini hana kiapo.Nimejifunza kwamba kama taifa tuna safari ndefu ya maendeleo.
Humu jf 99% ya member ni wasomi wa vyuo vikuu kama mimi. Naweza kusema ndio kinu cha kuchakata maendeleo.
Chakushangaza member wengi tunafata mihemko na bila kufanya analysis.
Trump anasema hivi jioni tunafata, mchana anasema tunashangilia, usiku kasema hivi tupo nae.
Yaani kama akili zetu zinaendeshwa na usa kupitia remote . Kama jf ina watu kama hawa , mitaani kuna aina gani ya watu?
Kama taifa tunatakiwa tujitafakari sana
ni vizuri zaidi kubadilika wewe kwanza gentleman kabla ya kusingizia wengine mihemko.Nimejifunza kwamba kama taifa tuna safari ndefu ya maendeleo.
Humu jf 99% ya member ni wasomi wa vyuo vikuu kama mimi. Naweza kusema ndio kinu cha kuchakata maendeleo.
Chakushangaza member wengi tunafata mihemko na bila kufanya analysis.
Trump anasema hivi jioni tunafata, mchana anasema tunashangilia, usiku kasema hivi tupo nae.
Yaani kama akili zetu zinaendeshwa na usa kupitia remote . Kama jf ina watu kama hawa , mitaani kuna aina gani ya watu?
Kama taifa tunatakiwa tujitafakari sana
Hilo genge wewe ni kiongozi waoJf humu kuna maprofessa wa mapenzi,umbeya,utopol