Hahaha! Mburula kweli wewe.
Ulipaki gari barabarani na unasema ulikuwa kwenye daladala. Ama wewe profeshenale nindereva wa ma3?
Cc watu8
Hakika nimekuwa mlevi mkubwa wa JF mpaka najisahau na kutoa kamchina kangu popote bila kuangalia mazingira, jana jioni nikiwa naelekea mjini nikitokea Temeke kufika Mivinjeni nikakuta foleni kubwa, foleni iliyotokana na ukarabati unaoendelea wa.....
...nimechanganyikiwa vibaya, hali hiyo ilinifanya nipoteze umakini barabarani. Nilipaki gari pembeni, hata safari yenyewe ilinitumbukia nyongo!. Hivyo natoa tahadhari kwa wengine, maeneo yale ya Mivinjeni zilipovunjwa nyumba ni hatari sana!
Hahaha! Mburula kweli wewe.
Ulipaki gari barabarani na unasema ulikuwa kwenye daladala. Ama wewe profeshenale nindereva wa ma3?
Cc watu8
...simu, nami sikujivunga! nilifungua mlango na kumkimbiza huku nikipiga kelele za mwiziii! mwiziii! mwiziii! nilimkimbiza peke yangu bila kupata kampani yoyote. Na muda huo huo gari zikawa zimeruhusiwa nikajikuta nimeweka foleni nyingine huku....
huyu katunga stori si.umeona alivyojichanganya
...nimechanganyikiwa vibaya, hali hiyo ilinifanya nipoteze umakini barabarani. Nilipaki gari pembeni, hata safari yenyewe ilinitumbukia nyongo!. Hivyo natoa tahadhari kwa wengine, maeneo yale ya Mivinjeni zilipovunjwa nyumba ni hatari sana!
Hahaha! Mburula kweli wewe.
Ulipaki gari barabarani na unasema ulikuwa kwenye daladala. Ama wewe profeshenale nindereva wa ma3?
Cc watu8
Simu ndio ishaporwa hapo kabla sredi hajaimalizia heheh...strange uunh!!!
Heh! Kwa hiyo kwenye heading alishaotea ataibiwa!!
Pole mwaya mtoa mada kwa kuibiwa
Hakika nimekuwa mlevi mkubwa wa JF mpaka najisahau na kutoa kamchina kangu popote bila kuangalia mazingira, jana jioni nikiwa naelekea mjini nikitokea Temeke kufika Mivinjeni nikakuta foleni kubwa, foleni iliyotokana na ukarabati unaoendelea wa.....[/QUOT
umeporwa nyingine nini ? mbona ujamalizia sentensi yako.