Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,562
Ili usipate shida katika kuitambulisha jinsi ya member huwa tunatumia neno "mkuu"!
Nimepata humu na nina watoto wawili sasa........swali jingine.
umeanza Vurugu zako...!! ibra87 aje aone kwako alichokuwa anapinga.
Tupo wengi, wangu nilikutana nae fesibuku, akanitongozea hapa jf, na sasa kila siku tuna update habari za mapenzi yetu huko Instagram....kazi kwako
Nimeona Mkuu, Huyu Atoto Namuandalia Kampeni Matata tena Eli79 atakuwa Meneja Kampeni
atoto anatufanyia hujuma ya nafsi kweli kweli!
Nimeona Mkuu, Huyu Atoto Namuandalia Kampeni Matata tena Eli79 atakuwa Meneja Kampeni
Dogo..wengi wamekuja na kuondoka. Hii mali wameiacha kama ilivyo, nikitaka tu nanyanyua simu naletewa hadi home!
Tatizo ni wivu darling ex...wivu unauwa ujuwe...naanzaje kufikiri ex darling ukiwa faragha kwa mfano!!
Dogo..wengi wamekuja na kuondoka. Hii mali wameiacha kama ilivyo, nikitaka tu nanyanyua simu naletewa hadi home!
Mapenzi yakikolea mkaamua kubebana jumla, basi utuhabarishe kule Snapchat!.Tupo wengi, wangu nilikutana nae fesibuku, akanitongozea hapa jf, na sasa kila siku tuna update habari za mapenzi yetu huko Instagram....kazi kwako
Sasa darling ex si unaniruhusu tu ila ukinihitaji naja?
HahahahaMkuu naona unatafuta kick?me shemeji yako nimempatia humu humu.
Bado mpo pamoja?Tupo wengi, wangu nilikutana nae fesibuku, akanitongozea hapa jf, na sasa kila siku tuna update habari za mapenzi yetu huko Instagram....kazi kwako
tupo taarifa zetu zimezagaa twitaBado mpo pamoja?